Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Ndio it is sweet, ila kumpata sasa ndo mtihani
Mbona rahisi tu,yatumie mahaba ya mwanzo ukiona haeleweki timua mbio…uking’ang’ana usisahau kuna bastola ya kichwa mkuu
 
amini , amini nakuambia kamwe usijione kuwa wewe ni bora na una haki ya kupendwa Zaid na fulani kwasababu fulani,...
mtu anaweza mpenda mwizi, mvuta bangi , marioo , shoga , malaya na hata teja,...na akamuacha mtu ambaye jamii inaamini ni mtu safi, handsome au beautiful, mchapa kazi na mwenye malengo safi,...
kuna watu wakiwa faragha huko, wanafanyana mpaka wake/waume za watu wakitoka hapo wanaenda kutafutiza visababu vya kuachana,...
so just play your part,...umeachwa ,then move on ✌️🀞🚢🚢
 
Duuh
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…