Mapenzi ya mbali: Je, ni upendo au ni mtego wa kunitawala kiakili?

Mapenzi ya mbali: Je, ni upendo au ni mtego wa kunitawala kiakili?

Duhh basi ali left huyu mtu! Ila wanazingua kuhamisha uzi! Ulikuwa unatafuta nini ukauona🤣
Hahahha yani nimeshangaa sana napewa uzi ambao sio wangu , nilikua nazurura tu.
 
Wote uliowahi kuwakosoa hata walipokosea ,nakuhakikishia watakuwa maadui zako kwa hii mada ,ila jaribu kumcheki bro Active ,yeye hanaga noma unampa hata ten anaufuta mazima kabla waja hawajatoka kazini hasa wale wa halmshauri .
Utaondolewa mkuu, hao wa halmshauri ndio wanakuaje bwashee šŸ˜…
 
Back
Top Bottom