Hapana soma kichwa cha habari na mimi nilicho andika kama commentKumbe kuna kurithishana nyuzi au ulilewa ukaanzisha uzi🤭
Duhh basi ali left huyu mtu! Ila wanazingua kuhamisha uzi! Ulikuwa unatafuta nini ukauona🤣Hapana soma kichwa cha habari na mimi nilicho andika kama comment
Hahahha yani nimeshangaa sana napewa uzi ambao sio wangu , nilikua nazurura tu.Duhh basi ali left huyu mtu! Ila wanazingua kuhamisha uzi! Ulikuwa unatafuta nini ukauona🤣
🖕Mkuu mpe meneja simu maan unakoendelea pabaya
Masikini min -me wakati bado kuna watu hawajamsamehe kwa msamaha aliowaomba nao mods kuonesha wana hasira naye bado wakaamua kumpachika kwenye uzi wa kike .Duhh basi ali left huyu mtu! Ila wanazingua kuhamisha uzi! Ulikuwa unatafuta nini ukauona🤣
Hebu report utafutwa na modsHahahha yani nimeshangaa sana napewa uzi ambao sio wangu , nilikua nazurura tu.
Nashangaa pia sijui nikutumie namba ya MAX umpigie umchimbe biti walau mambo yasiwe mengi ateme hata m10 chapHii sijui imetokeaje mkuu
Min ana roho ngumu huyu hawezi kujinyonga labda adhalilike tu🤣Masikini min -me wakati bado kuna watu hawajamsamehe kwa msamaha aliowaomba nao mods kuonesha wana hasira naye bado wakaamua kumpachika kwenye uzi wa kike .
Lengo adhalilike ajinyonge ,afie mbali na mbingu asiione kabisa
Tena afanye haraka kabla ,maadui zetu hawatoka kazini ,maana sijui wakiona itakuwajeHebu report utafutwa na mods
Kudhalilika ndio kuwa vipi😅Min ana roho ngumu huyu hawezi kujinyonga labda adhalilike tu🤣
Adui tena kumbe kuna maadui humu😅Tena afanye haraka kabla ,maadui zetu hawatoka kazini ,maana sijui wakiona itakuwaje
Watamnyoosha vibaya watasema kabadili id alikuwa anajifanya wa kike ili mafisi yamjie piemuni🤣Tena afanye haraka kabla ,maadui zetu hawatoka kazini ,maana sijui wakiona itakuwaje
Subiri waje😁Kudhalilika ndio kuwa vipi😅
Wote uliowahi kuwakosoa hata walipokosea ,nakuhakikishia watakuwa maadui zako kwa hii mada ,ila jaribu kumcheki bro Active ,yeye hanaga noma unampa hata ten anaufuta mazima kabla waja hawajatoka kazini hasa wale wa halmshauri .Adui tena kumbe kuna maadui humu😅
Utaondolewa mkuu, hao wa halmshauri ndio wanakuaje bwashee 😅Wote uliowahi kuwakosoa hata walipokosea ,nakuhakikishia watakuwa maadui zako kwa hii mada ,ila jaribu kumcheki bro Active ,yeye hanaga noma unampa hata ten anaufuta mazima kabla waja hawajatoka kazini hasa wale wa halmshauri .
Upepo umetokea wapiNimecheka mpaka upepo umenitoka🤣🤣🤣🤣