Mapenzi ya mbali: Je, ni upendo au ni mtego wa kunitawala kiakili?

Yaani nimekaa pekee yangu nikajiuliza hivi siku wakichabganya mafile kama hivi wakaniweka kama muanzisha mada kwenye mada ya haszu naamini waja wote mtanikataa kabisa kabisa
Au marry diana! Hebu imagine utakavyoonekana una maparody unashuka heshimu ndani ya sekunde chache!
 
Kaniudhiii😮‍💨
Au ana shares humu🤭
Kwani umejua leo ndugu ?
Ogopa mtu ana mada moja sijui mbili toka ajiunge hapa Jf

Japo sisi wengine tukisema tuanzishe mada uwa tunawehuka kwa muda yaani material yanajichqnganya kichwani mpaka lengo la uzi linapotea ,sasa yeye na madini yote aliyonayo bado haanzishi tu
 
Yuko low key🤣 sisi waanzisha mada tunaonekana tuko desperate sana aisee🤭
 
Ikitokea nitakuja PM kwa watu wangu wa nguvu na kuwaqmbia mnisamehe sio mimi alafu taratibu nazima ka ID kangu natafuta kajina kengine ili mambo yasiwe mengi
Labda ubadili na mwandiko wako 🤣 lasivyo tutakugundua tu wagunduzi tuko macho hatari! Kuna mwamba humu namuona daily na ids mpya akijaribu kujinyakulia wafuasi cha ajabu akitype tu huwa namgundua maana anajisahau sana kila mwezi ana id mpya😅
 
Pole, upendo ulioegemea upande mmoja pekee hautoshi kuweka mahusiano sawa.

Ni jukumu la mwanaume kukupenda, kama unaona unamwambia vitu visivyokupendeza halafu anakunyima upendo au anajiweka mbali na wewe, basi hakufai.

Hakuna maombi yatakayombadilisha, anza kumuomba huyo Mungu wako akuponye na akupe ambaye utaendana naye, huyo wa sasa muache aende zake.
 
Achana nae hata kama inauma , kiufupi hakupendi hakutaki na kapata mwingine , mzuri , muelewa na anae mpenda kuliko wewe.

Hivyo fanya utaratibu wa kujifunza namna ya kujipenda wewe kwanza kabla ya kuwapenda wengine. View attachment 3538436
Unafikiri hilo halijui? Mpaka anaanzisha uzi huu basi analijua hilo fika.

Mtu wa hivi hashauriki kabisaaaaa, ni wa kuachwa tu mpaka atakapoamua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…