Mapenzi ya mbali: Je, ni upendo au ni mtego wa kunitawala kiakili?

Teh teh teeeeh!
 
Yaonesha wewe ni kero.
Unataka attention sana.
Muda wote ku-chat au calls.
Unapenda kunyenyekewa na kuombwa msamaha.
Umri wako au malezi vinaweza kuwa sababu.
Insecurity pia yaweza kuwa sababu.
Aina hii ya wanawake, wanachosha mnoo hawajui tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…