Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Hakuna anaemtumia huyu dada Maria zaidi ya Maria na tabia zake na ushangingi wake mwenyewe na tumbo lake.

Maria alikuwa hawara kwa mwanasiasa fulani akahaidiwa ndoa halafu dakika ya mwisho akatoswa na kuolewa Mwanamke mwingine.

Kichaa kilianza hapo.

Wazee wa Slip way mnakumbuka enzi zile huyu dada alikuwa na kampani yake ya vitoto vidogo vimiss ambavyo alikuwa anavukuwadia kwa watasha.

Kuna kipindi kile cha mwaka 2013 Maria wakati wa kampeni za ndani alikuwa CCM kindakindaki hadi midahalo ya yule jamaa aliyempromise kumuoa aliimoderate alikuwa akipewa kila matunzo akaachwa kwenye mataa ndipo kisirani chake kikapanda.

Alianzia kwa aliyemuacha kumtemea mbovu sana mwana aka hajali kabisa hasira zikahamia CCM.

Hivyo ndivyo ilivyo kuwa kwa Huyu binti wa Mnene Baba yake alikuwaga Mbunge Rorya Baada ya jamaa kumtosa amekuwa kama Sungura wa sizitaki mbichi hizi.

Leo hii Maria jamaa akipiga simu moja tuu, kukosoa kutaisha na atakuwa muimba mapambio mzuri sana. Adui wa Maria Sarungi ni mapenzi huyu binti alimpenda mshikaji aibu jamaa likamtosa dakika za mwisho kwanza Dada alidata huyu.

Mua ulizamisha meli.
 
Maria anawanyoosha vizuri naona sasa mnatumia kila silaha mliyonayo kukabiliana nae, nyie jibuni hoja zake tu muwe salama, lakini hayo mambo ya chumbani hayatuhusu, kila mtu ana yake na hayalisaidii hili taifa.
 
Kwamba hasira za kuachwa kazihamishia kwa watawala
 
Hehe...jamaa akaoa muarabu enh!!? kama inakuja vile.
 
Too low!!
 
Sasa haya ni maisha binafsi ya mtu yanakuhusu ni nini na unatuletea huku ili tufanye nini? Mbona na wewe una maisha yako binafsi hayatuhusu
 
Maria anawanyoosha vizuri naona sasa mnatumia kila silaha mliyonayo kukabiliana nae, nyie jibuni hoja zake tu muwe salama, lakini hayo mambo ya chumbani hayatuhusu, kila mtu ana yake na hayalisaidii hili taifa.
Watadata mwaka huu. Maria shikilia hapo hapo!!
 
So What ?
 
Jibunj hoja zake iwe ni hasira au mahaba lakini kaongea facts kama kaongopa zipangue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…