Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
FactMaria anawanyoosha vizuri naona sasa mnatumia kila silaha mliyonayo kukabiliana nae, nyie jibuni hoja zake tu muwe salama, lakini hayo mambo ya chumbani hayatuhusu, kila mtu ana yake na hayalisaidii hili taifa.