Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

🀣🀣🀣🀣🀣🀣akili kubwa Mkuu.
Hongera sana kwake na wewe pia katika hii hatua mliyofikia.

Ila umenichekesha sana ulipomuomba mdogo wako mkojo ukautumie kwa UPT test, hahahaaa.

Ulikuwa mdadisi sana hadi ukatambua kuwa Nesi alitumia mkojo kupima ujauzito
 
Pole sana kwa matatizo uliyoyapitia ila R alijitahidi kwa uwezo wake . Nakushauri siku moja moja uwapelekee wazazi wa R hata zawadi kurudisha fadhila
 
Pole na hongera mwaya navuta picha ukitembea na mtoto wako kama mtu na mdogo wake hakika mnakuwa mnapendeza.

Pole pia kwa R.
 
Angalia asipate mimba. Historia ujirudia!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtoto wa kiume?

Au asitie mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…