Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Wow!! Mie huwa mzito sana kusoma story ndefu humu ndani ila hii imenivutia sikutaka kuikatiza. Pole sana mama nafahamu uchungu ulio nao, ila Mungu ni mkuu. Angalau unayo copy ya R wako, na Mungu akukuzie vyema.
 
Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufipi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikiwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu
New heading: Headboy akivyokula tunda kimasihara
 
Umeongea kitu kikubwa sana kwa mtu anaye weza kugundua hilo... ...
Ni watu wenye upeo wa mbali sana ndio wanaweza kuelewa, huenda angempuuza yule kijana angeishia kuwa mama lishe.

Ndio maana kuna baadhi ya mabinti wenye upeo mdogo huwa nawashangaa sana utakuta ana miaka 27 bado anaishi kwa wazazi na future yake haieleweki halafu utakuta anadharau wanaume unamuongelesha hata kujibu salamu hataki, unaweka naye appointment na hajui unataka kuongea naye mazungumzo gani anakuignore.

Baadae akishavuka miaka 34 ndio wanasthtuka kuanza kujitangaza mitandaoni kutafuta wachumba matokeo yake anaangukia kwa wahuni wanaendelea kumchezea.

Kilichomuokoa huyu binti ni kuwa humble ndio maana hata ukweni walitoa Support. Angeleta ujuaji tu angeharibu
 
Kooooote tunafanana except pamoja.
Kufariki kwa R.

Ilikuwa like nasoma my story
Mimi pia nilipata binti nikiwa form 4.
And well, I married the guy.

Nimesoma kwa hisia sana.
Ahahaha ulianza mapema kupiga misamba!
 
Jiangalie na wewe usitake huruma kupindukia kwa kuyaishi maisha yaliyopita.... Mtizame vyema isije kuwa ya nyumba ya ghorofa haikai kuku...

Uzuri wa hao wengi wao ni wakujichanganya..hawana utopolo wa sijui single mother...sasa na wewe msome ...ili muende sambamba..ujuwe akikuoa kuna mambo yatabadilika ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…