Mapenzi ya Warundi na Mercedes Benz

Mapenzi ya Warundi na Mercedes Benz

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Nachofikiria ni kuwa kampuni ya utengenezaji magari makubwa Mercedes Benz kwenye ripoti zao watakuwa wanaitambua nchi ya Burundi kama one among their potential customers.

PXL_20240819_083216767.MP.jpg
 
Sauz pia huwez kuleta mtumba mule.
Yeah, hairuhusiwi kwa sababu ya kulinda viwanda vya ndani.

Sharti la kwanza, lazima uanzishe kiwanda South Africa, pili lazima wasouth wamiliki hisa kwenye hicho kiwanda.

Jamaa wako very strict kwenye kulinda soko lao la ndani. Imports ni kama hakuna za magari.
 
Back
Top Bottom