Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Wakuu , mchumba wangu wa zamani alioa zenji.

Hakuachana hadi Leo.
Rafiki zangu wameoa Zanzibar wote hadi naleo hawajaachana .

Tujuzeni mapenzi ya Zanzibar yakoje?

Yapojee?

Maana sio wakutuchukuliwa waume kihivyo.
 
Ipo option ya kuoa hadi wanne.
wengi hawapendi hilo.
 
Dini ya talaka
Na hii ni moja ya vitu vizuri kabisa kwenye uislamu.

Papa Francis alitangaza kuiangalia upya sheria ya ndoa ya kikatoliki, anajua haipo sawa. Ila kuna wahafidhina wanamzuia, aking'ang'ana watamuondoa kama walivyomuondoa Benedicto.
 
Mtuambie mauzi mnayopata nakukwandaa na machicha yanazi
 
Ukiwa na demu Zanzibar bila kumla tigo hajisikii raha
 
Zanzibar tigo ni Jambo la kawaida sana
Hizo ni fikra potofu mana huo mchezo upo popote duniani inategemea binti mwenyewe akilegeza wanamlegeza
Pia maadili na malezi ya mabinti yanachangia kidumu kwenye ndoa mana wanarizika na kuvumilia
 
Back
Top Bottom