Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Bado tu mnawaza kupenda na kupendwa
Ni natural instinct ya mwanadamu, hata uwe gaidi kiasi gani hauwezi kuepuka. Upweke usikie tu, ndio maana watu wananunua kampani kama vifurushi mwishowe pesa zinawaisha.
 
Ukome kuigiza mapenzi, alafu punguza maneno mengiii hata ktk mapenzi na kwingineko ww si mwanaume au mvulana?

Kama mwanaume kazi ya mwanaume ni kutafuta, so tafuta pisi kali ziko nyingi mno, na songa mbele, hukuwa na ndoa nae, songa mbele, be a man, acha kelele humu, sio kila kitu unaomba ushauri, ushauri gani tukupe sisi mtu hatumjui, au hatujui kisa cha ww kukukimbia, tunajuaje ni ww ndio una makosa, ukweli unaujua ww na yeye tu, nini kilitokea, kama ni ku fix ni nyie wawili tu, sisi unatusumbua humu bure, ebu show ur maturity.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chief kuwa mwangalifu sana na mambo ya hisia.Mapenzi,chuki,unyenyekevu yanatoka MOYONI.Ulinde moyo wako usije ukavunjwa au ukavunjika.Unapokua na mapenzi na mtu weka uhakiki kuwa mapenzi yako kwake yanalipwa pia kwako.Usiwekeze mapenzi kwa watu ambao hawana malipo mazuri ya mapenzi pia kwako.
 
Nina shamba langu huko mkuranga unaweza kwenda kulilima mwezi mmoja tu huku ukimsahau huyo binti ukitoka hapo utakua mtu mpya trust me
 
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!

Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination

At first it felt like a dream you know, finding a missing puzzle piece, i felt complete, I can’t speak for her but i was happy as they come. untill when she went back to school, abroad

Ikawa Long distance sasa hapo nilikuwa najitahid relationship iwork, the time difference sikujali nilikuwa nakaa macho usiku wa manane ili tuongee

Akaniambia anakuja huu mwezi nikimuuliza lini hasemi tarehe specific anakwambia “soon tu”🥺

Nakuja kutambua kafika DSM kakaa kimya wakati tulikubaliana nimpokee anavyokuja yote hayo yakawa hayafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie

Nikiwasiliana nae anadanganya anasema hajafika nikamwambia kafika na nafahamu kwahiyo nimuone wapi akasema kwao zaman kahama sijui wanaishi kama Nomads bla blah!

Kifupi she’s blowing me off but i fucking love her, Nikimwambia anasema she’s not ready kukutana eti anadeal na some personal stuffs nkimwambia awe anafanya sharing nimsikilize anasema hayuko tayari

Kibaya kinachonitisha nitaipata wapi connection na mwanamke kama ile, we were “The couple” she was everything I ever wanted, tulikuwa tunaongea lugha moja she was wild and adventurous AF, I loved that about her lakin sasa nipo nipo tu

Najua kuna watu watasema Man-down, sawa ila nachowaza tu “nitampata wapi kama yule” uzuri ni kigezo ila somehow si kigezo maana wapo wengi damn it. lakini personality ndio tatizo nikikumbuka the sex

Imagine she freaking love comedy movies, anasikiliza Hip-hop anawakubali imagine dragons anaangalia animations ni shabiki wa Man u 🥺 and she loves nature, nilifikiri she was The one

No this ain’t over yet, our story doesn’t have to end this way... i need a freakin’ happy ending
Man down! Man Down! I repeat!!!
 
Hapo umepigwa "character development" baada ya hapo utakaa tu sawa na utakuwa makini na mapenzi hayata kuhangaisha tena huko mbeleni huo ndio ukomavu na unahitaji hilo ili uwe sawa. Atakuja mwingine mtaendana huyo mliendana kwa stage uliokuwepo....pengine yeye kashasogea anakuona bado upo kwenye level hizo, kumbuka wanawake wana upeo mkubwa sana. Move on....
 
Me jana nimefanya kosa la kuandika limeseji lirefu kujielezea kwa demu kwamba sina pesa kwa sasa

Hadi muda huu najihisi nilipunguza sana uanaume wangu


Yani wewe unaleta uhindi bongo?
Ndo maana kakutema umemganda sana.
 
Tafuta vitu vingine vya kufanya mkuu

Nmekuja kumuelewa plato kuwa Love is a serious mental disease

aisee!! Ni huzuni kwakweli ukizingatia maisha yalivyo magumu aah yani kwakweli ni huzuni mno
Hahahahaha aiaee huo mstari wa plato ni wa kweli?
 
Back
Top Bottom