Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Bado tu mnawaza kupenda na kupendwa
Ni natural instinct ya mwanadamu, hata uwe gaidi kiasi gani hauwezi kuepuka. Upweke usikie tu, ndio maana watu wananunua kampani kama vifurushi mwishowe pesa zinawaisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chief kuwa mwangalifu sana na mambo ya hisia.Mapenzi,chuki,unyenyekevu yanatoka MOYONI.Ulinde moyo wako usije ukavunjwa au ukavunjika.Unapokua na mapenzi na mtu weka uhakiki kuwa mapenzi yako kwake yanalipwa pia kwako.Usiwekeze mapenzi kwa watu ambao hawana malipo mazuri ya mapenzi pia kwako.
 
Nina shamba langu huko mkuranga unaweza kwenda kulilima mwezi mmoja tu huku ukimsahau huyo binti ukitoka hapo utakua mtu mpya trust me
 
Man down! Man Down! I repeat!!!
 
Hapo umepigwa "character development" baada ya hapo utakaa tu sawa na utakuwa makini na mapenzi hayata kuhangaisha tena huko mbeleni huo ndio ukomavu na unahitaji hilo ili uwe sawa. Atakuja mwingine mtaendana huyo mliendana kwa stage uliokuwepo....pengine yeye kashasogea anakuona bado upo kwenye level hizo, kumbuka wanawake wana upeo mkubwa sana. Move on....
 
Me jana nimefanya kosa la kuandika limeseji lirefu kujielezea kwa demu kwamba sina pesa kwa sasa

Hadi muda huu najihisi nilipunguza sana uanaume wangu


Yani wewe unaleta uhindi bongo?
Ndo maana kakutema umemganda sana.
 
Tafuta vitu vingine vya kufanya mkuu

Nmekuja kumuelewa plato kuwa Love is a serious mental disease

aisee!! Ni huzuni kwakweli ukizingatia maisha yalivyo magumu aah yani kwakweli ni huzuni mno
Hahahahaha aiaee huo mstari wa plato ni wa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…