Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi


ANOTHER MAN DOWN
 
Mapenz ni kama darasa muda sometimes ukifika u need to move out to the next ila pia distance relationship especially za continent to continent jau sana sbb mtu anakua Exposed katika culture tofauti na maisha tofauti na especially mwanamke akienda nje ndo umepigwa so u need to stand up again blood even when standing aint easy [emoji1434]
 
Kashampata mu abroad huko abroad. Achana nae tafuta kina Mwa J ndala ndefu uswazi huko wanapenda na kunga'ng'ania balaa unaweza ulogwe kabisa. Si unatafuta mapenzi bwana wapo wengiii acha kuumia
 
Me jana nimefanya kosa la kuandika limeseji lirefu kujielezea kwa demu kwamba sina pesa kwa sasa

Hadi muda huu najihisi nilipunguza sana uanaume wangu


Yani wewe unaleta uhindi bongo?
Ndo maana kakutema umemganda sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] eti huna hela
 
RAFA_01 You OK bro? Tangu August 23 huonekani usije kuwa umeshajitanguliza akhera? Natania.
On a serious note, mpotezee kabisa, ondoa vitu vyote vitakavyofanya umkumbuke, contacts, social media nyimbo mlizosikiza pamoja, n.k
Jipe muda upone, na kikubwa tambua kwamba this is a moment that turns a boy into a man.
 
Ehhhh em subili kwanza twende taratibu....kwani hizo siku ambazo amekuja na ataki kuonana na ww umekosa hewa......Mkuu muache aende maisha yako furaha yako kwanza mengine badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…