Mapenzi yameisha ama?????

Mapenzi yameisha ama?????

Hapo mapenzi kwishney omba likizo tu ukalinew penzi...
Na ukizingatia chakula chenyewe cha kula wewe ana andaa huyo huyo HG.

Kweli mkuu hili nalo neno:becky::becky:
 
bora akili hizi zinanitosha, mi my mr wangu alinikuta na akili hizi sijazibadilisha na amezikubali.

Si zimefanana ndo maana kazikubali:becky::becky::becky:
 
bora akili hizi zinanitosha, mi my mr wangu alinikuta na akili hizi sijazibadilisha na amezikubali.

Kweli hapo kwenye blue mie zangu ni akili bora:becky::becky:
 
Kweli kwenye ndoa small thing matters maana ishu ya kupasi tu nguo inaweza ikakuzwa ikawa ndio chanzo cha mgogoro ndani ya nyumba
 
Kaka mambo madogo huzaa mambo makubwa kumbuka mbuyu ulianza kama mchicha
 
Kweli kwenye ndoa small thing matters maana ishu ya kupasi tu nguo inaweza ikakuzwa ikawa ndio chanzo cha mgogoro ndani ya nyumba

Vitu vidogo kama hivi ukiwa wewe mwanaume dhaifu vitakufanya ukonde kwa mawazo,
 
Utakuta kachanganya na za HG :becky::becky: nazipac :becky::becky:

bahati mbaya sana cna hgal, na hata ningekuwa nae cwezi kuishi kwa hofu eti kisa hgal atafanya hiki na kile, kutojiamni huko, najiamini sana aisee, siruhusu hofu initalawe, na ananiheshimu pia, angefanya yote lakini kwa hgal hafiki kama ningekuwa nae huyo hgal.
 
Hivi kwa nn unaogopa kukaa na HG? najua unapetendelea kukaa na HB nn siri ya mafanikio?
 
Vitu vidogo kama hivi ukiwa wewe mwanaume dhaifu vitakufanya ukonde kwa mawazo,

huko ni kujitakia, sasa unataka nani akupasie bac, peleka drycleaner kikafanyike kila kitu...wanaume kama nyie hamtakiwi kuoa kabisa.
 
Ndo hapo mnapokosea wewe nimekuoa uje ufanye nn kwenye nyumba yangu?
Ukizingatia mm ndo kichwa cha familia gharama zote na gharamia mm pamoja na kukuhifadhi wewe sa nipeleke huku kufanya nn wkt wewe upo upo tu?
 
Hivi kwa nn unaogopa kukaa na HG? najua unapetendelea kukaa na HB nn siri ya mafanikio?

nitakujibu kesho baada ya kumuuliza yeye kwanini alipendelea tuishi na h/b kuliko h/g......
 
Back
Top Bottom