Mapenzi yameisha ama?????

Mapenzi yameisha ama?????

hayo ni madhara ya watu kama nyie kujidai kichwa cha nyumba, sasa cndio kichwa kinakuwa kichwa.

Hata maandiko matakatifu yanabainisha mwanaume ndie kichwa cha familia...umewahi ona wapi mwanamke anatoa talaka? mwanamke anaomba talaka hatoi talaka.
 
hapo tutaenda sawa hata ukienda msalani ukiona uvivu kujiswafi we niite tu mama fulani we njoo huku uniswafi

maty wewe hazimo....lol, nimecheka mpaka machozi jamani, hayo mapenzi yako ya kimwambao kweli.
 
Maty anafaa kuolewa na mm huyu tunaendana mwenye pingamizi atanabaishe lakini wenye wivu kama wewe mtaanza mizengwe yenu nawajua sana
 
Hata maandiko matakatifu yanabainisha mwanaume ndie kichwa cha familia...umewahi ona wapi mwanamke anatoa talaka? mwanamke anaomba talaka hatoi talaka.

cjakataa, ndio mana chako chetu, changu changu.
 
maty wewe hazimo....lol, nimecheka mpaka machozi jamani, hayo mapenzi yako ya kimwambao kweli.

Fidel80 atakubali kuswafiwa kunako:becky::becky: kazi kwako mkuu:becky:
 
maty wewe hazimo....lol, nimecheka mpaka machozi jamani, hayo mapenzi yako ya kimwambao kweli.

Siyafanyi bure hayo nyamayao niko kazini naongeza kipato. Kipato changu hakiguswi hapo matumizi yote yeye mie changu naenda kujenga kwetu kishumundu upo hapo!
 
Si jana ulijifanya umesahau hukuacha kodi ya meza (ulisahau majukumu)

Mie huwa naacha bunda zima la kipato kwake na salary slip nampa :becky::becky: nategemea biashara zangu katika mahitaji yangu mengine:becky::becky:
 
hayo ni madhara ya watu kama nyie kujidai kichwa cha nyumba, sasa cndio kichwa kinakuwa kichwa.

mwanaume kichwa cha nyuma halafu mwanamke shingo ya nyuma, kifuatacho sasa shingo ndo iongoze kichwa:confused2: duh!!!
 
Siyafanyi bure hayo nyamayao niko kazini naongeza kipato. Kipato changu hakiguswi hapo matumizi yote yeye mie changu naenda kujenga kwetu kishumundu upo hapo!

Afadhali umejisema " AIKAA MAEE"
:becky::becky:
 
Afadhali umejisema " AIKAA MAEE"
:becky::becky:

we si unataka ufanyiwe kila kitu? sasa unalalamika nini yaani nikufanyie kila kitu halafu na kipato changu tushee? SIDANGANYIKI
 
Mie huwa naacha bunda zima la kipato kwake na salary slip nampa :becky::becky: nategemea biashara zangu katika mahitaji yangu mengine:becky::becky:

kama unafanya yote hayo na bado hataki kupiga pasi na wewe unamuangalia tu kakuoa au umemuoa. Hapo huo ni uzembe wako
 
we si unataka ufanyiwe kila kitu? sasa unalalamika nini yaani nikufanyie kila kitu halafu na kipato changu tushee? SIDANGANYIKI

Sihitaji kipato cha mwanamke nilianza tafuta faranga tangu mtoto aiseeeee
 
kama unafanya yote hayo na bado hataki kupiga pasi na wewe unamuangalia tu kakuoa au umemuoa. Hapo huo ni uzembe wako

Uzembe aufanyeje " amnyuke" hehehehe:juggle:
 
Back
Top Bottom