Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
- Thread starter
-
- #21
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.
Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.
Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Ila kumbuka ndugu hao hao...kwa KIPIGO bkila mala unawajengea mitazamo tofaut katka mpenzi...Ila wengi hawapend kupgwa kila mala .mwanamke yake maneno matamu...ndo uzima waoWanawake waopigwa sana ktk uhusiano ndio hufurahia mapenzi hayo kuliko wale wa kuchekewa kila siku..
Kama una ndugu yako ana mtoto unaefanana nae sana, mtie dp watsap na status halafu andika US.Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.
Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.
Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Kaugomvi ka uongo na kweli. Ila kale kaukweli hasa wanakonda hao balaa.Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!
Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Tofautisha ugomvi mdogo na ugomvi mkubwa.Za kuambiwa changanya na za kwako! Sasa kama mwanamke alilelewa kwa kipigo na matusi unategemea nini?
Tembea na dada wa kaziKabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.
Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.
Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Mnachanganya mambo,Ila kumbuka ndugu hao hao...kwa KIPIGO bkila mala unawajengea mitazamo tofaut katka mpenzi...Ila wengi hawapend kupgwa kila mala .mwanamke yake maneno matamu...ndo uzima wao
Hapo unatafuta VARANGATI, sio ugomvi tena[emoji2]Tembea na dada wa kazi
[emoji4][emoji4][emoji4]kwaninj mkuuKama una ndugu yako ana mtoto unaefanana nae sana, mtie dp watsap na status halafu andika US.
Nijuavyo mimi sio vyema kumtafutia mke ugomvi kwa namna yoyote.... Uwe ugomvi mkubwa au mdogo haitakiwi.Tofautisha ugomvi mdogo na ugomvi mkubwa.
Apo kwenye matusi na kipigo ni kwenye ugomvi mkubwa, tena kwenye extreme stage.
Na pia kumtukana matusi mwanamke ni ishara ya mwanaume asiyejiamini,
Maana tabia za kurushiana matusi ni za kufanywa wanawake.
Kabisa,Nitamu haswa pale anaposema unajua l...baby ulinikasirisha[emoji23]uku kasura kaupendo kutoka moyo kanaoneka...kiukweli mapenz mpeane kidogo kaugomvi ivi...ukimya nao ni sumu katka kuua mapenz
Ugomvi ni kawaida sana kwny mahusiano,Nijuavyo mimi sio vyema kumtafutia mke ugomvi kwa namna yoyote.... Uwe ugomvi mkubwa au mdogo haitakiwi.
Kumbuka nao ni binadamu
Hapa ndo penye umuhimu sasa....ila wao wanahitaji pesa
Km ukiwa na pesa tyuuh ni sawa, ila km kalaghabhao wallah utajua hujui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.
Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.
Kuna ugomvi na ugomvi wa kutengeneza.Ugomvi ni kawaida sana kwny mahusiano,
Ugomvi pia unaimarisha mahusiano kama ulkua hujui ilo.
Ugomvi pia ni kipimo cha jinsi gani mwanamke husika anakuhitaji maishani mwake.
Unapata kujua ni aina gani ya mwanamke ulienae ata siku mkiwa katika ugomv serious,
Sio uko na mwanamke afu unamwita wife material,
Ata hujui anaweza vipi kuhandle migogoro ktk mahusiano.
Kila mwanamke ana jinsi anahandle mgogoro wanapokasirishwa,
1. Wengine Wanalia sana.
2. Wengine Wanasali sana.
3. Wengine Mtabishana mpaka kieleweke.
4. Wengine Atakushtaki kwa watu wako wa karibu.mf: wazazi,marafik,ndugu
5. Wengine wanachepuka kutafuta faraja.
6.wengine wanakaa kimya tu
Usipomjua mtu wako ni wa namna gani, utafeli sana kwny mahusiano, hasa kama mmeshafikia hatua kubwa sana kimahusiano.
Nenda na mwanamke kwakoKabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.
Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.
Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Naunga hoja mkonoSometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.
Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.