Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.

Mbinu mojawapo ni kumgombeza anafua nguo zako vibaya ndio maana kadeti zako zinapauka kazi kuchati tu ovyo na watu ambao huna imani nao na mwenendo wake hauelewielewi [emoji28][emoji28]
 
Za kuambiwa changanya na za kwako! Sasa kama mwanamke alilelewa kwa kipigo na matusi unategemea nini?
 
Wanawake waopigwa sana ktk uhusiano ndio hufurahia mapenzi hayo kuliko wale wa kuchekewa kila siku..
Ila kumbuka ndugu hao hao...kwa KIPIGO bkila mala unawajengea mitazamo tofaut katka mpenzi...Ila wengi hawapend kupgwa kila mala .mwanamke yake maneno matamu...ndo uzima wao
 
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Kama una ndugu yako ana mtoto unaefanana nae sana, mtie dp watsap na status halafu andika US.
 
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!

Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Kaugomvi ka uongo na kweli. Ila kale kaukweli hasa wanakonda hao balaa.
 
Za kuambiwa changanya na za kwako! Sasa kama mwanamke alilelewa kwa kipigo na matusi unategemea nini?
Tofautisha ugomvi mdogo na ugomvi mkubwa.

Apo kwenye matusi na kipigo ni kwenye ugomvi mkubwa, tena kwenye extreme stage.

Na pia kumtukana matusi mwanamke ni ishara ya mwanaume asiyejiamini,
Maana tabia za kurushiana matusi ni za kufanywa wanawake.
 
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Tembea na dada wa kazi
 
Ila kumbuka ndugu hao hao...kwa KIPIGO bkila mala unawajengea mitazamo tofaut katka mpenzi...Ila wengi hawapend kupgwa kila mala .mwanamke yake maneno matamu...ndo uzima wao
Mnachanganya mambo,
Tukiongelea ugomvi sio lazima uhusishe kipigo.

Ata kumtibua tu mwenzio mkakaa bila kuongeleshana siku nzima au kutokupokea sim zake au kutokula chakula chake ni aina mojawapo ya ugomvi kwenye mahusiano.

Na huu ndio ugomvi unaoongelewa hapa unaodumisha mahusiano.

Ayo ya KUTOANA manundu ni kitu kingine kabisa na Siafikiani nacho kabisa.
 
Tofautisha ugomvi mdogo na ugomvi mkubwa.

Apo kwenye matusi na kipigo ni kwenye ugomvi mkubwa, tena kwenye extreme stage.

Na pia kumtukana matusi mwanamke ni ishara ya mwanaume asiyejiamini,
Maana tabia za kurushiana matusi ni za kufanywa wanawake.
Nijuavyo mimi sio vyema kumtafutia mke ugomvi kwa namna yoyote.... Uwe ugomvi mkubwa au mdogo haitakiwi.

Kumbuka nao ni binadamu
 
Nitamu haswa pale anaposema unajua l...baby ulinikasirisha[emoji23]uku kasura kaupendo kutoka moyo kanaoneka...kiukweli mapenz mpeane kidogo kaugomvi ivi...ukimya nao ni sumu katka kuua mapenz
Kabisa,
Unamzingua kidg ananuna afu mkifika kitandan kila mtu hamsemeshi mwenzie.

Unampapasa uku na kule mpk unastukia mmeshaanza makiss motomoto,joto linapanda mnapiga cha fasta.

Game ikikolea unamwambia,
"Yaishe mke wangu, nakupenda sana mda ule uliniudhi nadhan ndo mda SHETANI alipita[emoji4]"

Unaskia anajibu,
"Mi mwnyw nilishangaa, maana sijaona kibaya chochote nilichokufanyia.
Mme wangu inabidi uzidishe maombi shetani asipate nafas kwenye familia yetu"

Afu unaitikia,
"Ilo ni kweli mama watoto wangu, uyo shetani baba wa uovu ashindwe na alegee Tukimalizia kupata utamu tunapaswa tukemee uyo PEPO" [emoji4]

Yeye Anajibu
"Aya mme wangu, ebu inua huu mguu unikune apa kwa juu vizuri mi mwnyw nilikumiss sana. Mmwaah[emoji8]"

SHOW INAKUA IMEISHA
 
Nijuavyo mimi sio vyema kumtafutia mke ugomvi kwa namna yoyote.... Uwe ugomvi mkubwa au mdogo haitakiwi.

Kumbuka nao ni binadamu
Ugomvi ni kawaida sana kwny mahusiano,
Ugomvi pia unaimarisha mahusiano kama ulkua hujui ilo.

Ugomvi pia ni kipimo cha jinsi gani mwanamke husika anakuhitaji maishani mwake.

Unapata kujua ni aina gani ya mwanamke ulienae ata siku mkiwa katika ugomv serious,

Sio uko na mwanamke afu unamwita wife material,

Ata hujui anaweza vipi kuhandle migogoro ktk mahusiano.

Kila mwanamke ana jinsi anahandle mgogoro wanapokasirishwa,

1. Wengine Wanalia sana.
2. Wengine Wanasali sana.
3. Wengine Mtabishana mpaka kieleweke.
4. Wengine Atakushtaki kwa watu wako wa karibu.mf: wazazi,marafik,ndugu
5. Wengine wanachepuka kutafuta faraja.
6.wengine wanakaa kimya tu

Usipomjua mtu wako ni wa namna gani, utafeli sana kwny mahusiano, hasa kama mmeshafikia hatua kubwa sana kimahusiano.
 
Sometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.

Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.
Km ukiwa na pesa tyuuh ni sawa, ila km kalaghabhao wallah utajua hujui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ugomvi ni kawaida sana kwny mahusiano,
Ugomvi pia unaimarisha mahusiano kama ulkua hujui ilo.

Ugomvi pia ni kipimo cha jinsi gani mwanamke husika anakuhitaji maishani mwake.

Unapata kujua ni aina gani ya mwanamke ulienae ata siku mkiwa katika ugomv serious,

Sio uko na mwanamke afu unamwita wife material,

Ata hujui anaweza vipi kuhandle migogoro ktk mahusiano.

Kila mwanamke ana jinsi anahandle mgogoro wanapokasirishwa,

1. Wengine Wanalia sana.
2. Wengine Wanasali sana.
3. Wengine Mtabishana mpaka kieleweke.
4. Wengine Atakushtaki kwa watu wako wa karibu.mf: wazazi,marafik,ndugu
5. Wengine wanachepuka kutafuta faraja.
6.wengine wanakaa kimya tu

Usipomjua mtu wako ni wa namna gani, utafeli sana kwny mahusiano, hasa kama mmeshafikia hatua kubwa sana kimahusiano.
Kuna ugomvi na ugomvi wa kutengeneza.
Hapo tu ndio tunatofautiana
 
Back
Top Bottom