Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!

Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Too much fights spoils love
 
Sometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.

Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.
Mbinu ya kijasusi hii, but it works big time
 
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ugomvi wa kuutafuta kistyle sio mzuri, acha awe ana jaa kwenye 18 mwenyewe,
 
Mimi sipendi ugomvi, basi nitaachwa sana.

Sipendi ugomvi kwa sababu ni mgumu sana kusamehe.

Analyse alisema, mahusiano ya kimapenzi hayana template.

Hakuna kanuni moja ya kufanya kazi katika mahusiano yote.
 
Mimi sipendi ugomvi, basi nitaachwa sana.

Sipendi ugomvi kwa sababu ni mgumu sana kusamehe.

Analyse alisema, mahusiano ya kimapenzi hayana template.

Hakuna kanuni moja ya kufanya kazi katika mahusiano yote.
Mi pia sipendi tafrani, siwezi kuchanganywa na maisha na mtoto wa mama mkwe pia [emoji114]
Yani kama hapa baby hajanipigia tangu jana stress tupu si heri tuachane tu! kazi ya kuusemea moyo wa mtu inaninyonga haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi pia sipendi tafrani, siwezi kuchanganywa na maisha na mtoto wa mama mkwe pia [emoji114]
Yani kama hapa baby hajanipigia tangu jana stress tupu si heri tuachane tu! kazi ya kuusemea moyo wa mtu inaninyonga haki

Sent using Jamii Forums mobile app
Si umpigie wewe...😂😂

Kuna dada flani nilitokea kumpenda sana, tatizo lake kubwa hayupo active kabisa. Unapiga simu siku nzima hazipokelewi. Akija kupokea siku kadhaa baadae anaongea kama vile nothing happened, nikawa namwelewesha kwa lugha ya kistaarabu ila kubadilika habadiliki. Nadhani ndo wale wanawake wa kupenda kufokewa ndo wasikie raha. Basi kuna siku nimecheki hajapokea simu siku nzima, nakumbuka nilipaga si chini ya mara 15 ndani ya saa 1😂😂😂 Nikaona isiwe kesi, nikavunga.

Kuanzia mwezi wa tatu hadi leo anapiga na kutuma text za kulialia ila sijishughulishi nazo.
 
Si umpigie wewe...[emoji23][emoji23]

Kuna dada flani nilitokea kumpenda sana, tatizo lake kubwa hayupo active kabisa. Unapiga simu siku nzima hazipokelewi. Akija kupokea siku kadhaa baadae anaongea kama vile nothing happened, nikawa namwelewesha kwa lugha ya kistaarabu ila kubadilika habadiliki. Nadhani ndo wale wanawake wa kupenda kufokewa ndo wasikie raha. Basi kuna siku nimecheki hajapokea simu siku nzima, nakumbuka nilipaga si chini ya mara 15 ndani ya saa 1[emoji23][emoji23][emoji23] Nikaona isiwe kesi, nikavunga.

Kuanzia mwezi wa tatu hadi leo anapiga na kutuma text za kulialia ila sijishughulishi nazo.
Nimeshampigia Mara hapatikani mara yuko hewani hapokei, inamaana tangu jana simu hajashika au sio
Vumilia na ww Yan tangu jana tuu ushapata stress
Sipendi stress nna mambo mengi mno, sijuagi Drama!
Penda nikupende, yani mapicha picha siwezi kuyahimili ndio mana natuliaga single mda mwingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Msingizie anatoka na waziri mstaafu wa mali asili, halafu zira,nuna nazisha gubu yaani, baada ya wiki jifanye umemsamehe halafu mkamate mgonge haswaaa, huwa ina utamu yaani, nakumbuka kuna mmoja nilimzingizia anatoka na Mputa Maseko sema hajasoma hajuagi jamaa ni nani akaniomba msamaha
 
Nimeshampigia Mara hapatikani mara yuko hewani hapokei, inamaana tangu jana simu hajashika au sioSipendi stress nna mambo mengi mno, sijuagi Drama!
Penda nikupende, yani mapicha picha siwezi kuyahimili ndio mana natuliaga single mda mwingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan uko straight ..hutaki Kona Kona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nakubali [emoji817]
 
lol[emoji23][emoji23][emoji23]
Iyo nilishaifanya zaman sana kabla ata sijaoa,

ILIKUA HIVI,[emoji116]

Nilikua bachela afu mpnz wang yuko mbali na tunakoishi, mimi KIMARA mwisho, yeye MBAGALA.
Nikimwambia awe anakuja kwangu kila wikend tuna DO basi chenga chenga znakua nyingi Yaani ni mpaka ajiskie yeye.
Sometimes kwa mwez anakuja mara moja.
Yaani kwa kifupi SHE WAS NOT SERIOUS WITH THAT RELATIONSHIP.

Nikaona isiwe tabu,
ANANICHUKULIA POA HUYU binti afu na mimi ndo nishampenda, anajihisi yuko peke ake.
Inabidi nimpe changamoto kidogo apate wivi nione itakuaje.

PLAN ILKUA HIVI,
Ule ule mtaa nnakoishi, nyumba jiran kuna shoga ake wa kufa na kuzikana (WALISOMA WOTE primary mpaka Advance shule moja)

Basi kuna COUPLE MOJA mtu na dem wae huwa wanakuja pamoja na kuondoka pamoj kazin kwangu kwa gar ya Rav 4 2006.

Nikawashirikisha plan yangu na wakakubali kutoa ushirikiano 100%.

Nikamwomba mshkaj wang kwa wiki 1 nzima tu awe ananipa lift kwny gari yake nnapoenda na nnapotoka kazin.
Ila shemej awe ndie anaendesha, mimi nakaa siti ya mbele na shemeji.

afu yeye awe anakaa siti ya nyuma kwenye tinted asionekane

Akakubal kwa wiki nzima wakawa wananipitia asbh, wakifika shemej anapak.

Anashuka anakuja kunigongea mlangon kwangu nafungua tunaongozana mpk kwny gari tunaondoka kwenda kazin.

Jion wananirudisha, wakifika gari inapak nashuka.
Shemej anafanya kama ananisindikiza kwa mguu mpk mlangon kisha anarud anawasha gar na kuondoka.

Sometimes, tunaplan jamaa abaki ndaninya gari, meji atoke ndani ya gari.
1. Tunashuka tunaegemea bonet ya gari kama vile tunaongea vitu flan flan, mara acheke,mara anishike shavu, mara kaniwekea mkono begani na kufurahi furahi kisha anapanda gar anaondoka.

2. Anaingia ndani kwangu kidogo kunywa maji baridi na stori mbil tatu, dakika 10 au 15 kisha anarud zake anawasha gar anaondoka zake.

Basi yule shoga ake akawa anaona maana mda wa jion alkua anapikia nje ya nyumba, na mimi najifanya sina habari kabisa niko bize na mambo yangu.

Aisee,
Taarifa zilimfikia mpnz wang kua kuna mwanamke huwa ananipitia asbh kisha ananishusha jion kwny RAV 4 ya silver kila nnapotoka kazin.

Siku moja narudishwa kumbe kaja bila kunitaarifu yuko kwa uyo shoga ake.
Nmeshushwa na gari imeondoka namuona uyu apa.

Anauliza
" Uyo aliekushusha ni nani"

Nkamjibu tu shortly,
"Haikuhusu"

Akauliza tena,
"Ndo majibu gani ayo sasa, sio mara ya kwanza wala ya pili najua anakuleta na kukufata hapa kila siku"

"Kama hunipendi bora useme, Yaani uyo ndio anakufanya siku hizi ata hunipigii sim kama zaman"

Nikamjibu,
"Wee Utajua mwenyewe bhana" uku naelekea ndani.

Akajibu,
"Najua tu hunipendi na unanijibu ivyo kwa sababu umepata mwanamke mwenye gari. Wee sawa tu"

Nkamjibu,
"Utajua mwenyewe bhana"

Nikamwambia tena,
"Aisee usniongeleshe sana bhana nmechoka sana nataka nipumzike, Nauli yako hii apa wee nenda tutaongea siku nyingine" akaondoka.

Aisee baada ya hapo, Akaenda zake kwao
Akaanza kunipigia mara kwa mara,
Uko wapi?
uko na nani?
Kesho nakuja.

Ikabid nimstopishe meji wangu, Maana LENGO tayar LISHATIMIA

Gafla nikaona ruti za kuja kuja kwangu na kukaa kwangu zimeongezeka,
MAHUSIANO AKAANZA kuyachukulia serious zaidi.

Akawa anakuja ananifulia, ananipikia mpk sometimes anaacha baadhi ya nguo zake kwangu,

Sometimes anakuja usiku wa manane ananigongea namfungulia, anaangalia uku na kule nisije nikawa niko na mwanamke mwingine.

Nikajisemea kimoyo moyo,
" NAAM , Hapa ndo nlipokua napataka[emoji4]. Amekua serious na mahusiano sasa [emoji106]"
 
Huwa inatokea wiki mzima kazi yangu ni kugoma tu kila nikirudi nyumbani mara hiki mara kile.

Sasa nikiamua wiki inayofuata kukaa kimya kumwangalia tu huwa ananiuliza kwa mahaba "Baby mbona umepoa ivyo" namjibu ni kawaida em njoo hapa nampatia haki yake anaridhika.

Hawa bila kuwagomea ni kweli wanaboreka wakati mwingine.
Unagoma kula au kufanya nini?
 
Nitamu haswa pale anaposema unajua l...baby ulinikasirisha[emoji23]uku kasura kaupendo kutoka moyo kanaoneka...kiukweli mapenz mpeane kidogo kaugomvi ivi...ukimya nao ni sumu katka kuua mapenz
Kwa mliopata watoto wa mwisho kwao ndio wana hizo njonjo! Wengine tumeoa maaskari huku, huo muda wa unajua bebi unatokea wapi? Ni mitusi mtindo mmoja
 
Ugomvi ni kawaida sana kwny mahusiano,
Ugomvi pia unaimarisha mahusiano kama ulkua hujui ilo.

Ugomvi pia ni kipimo cha jinsi gani mwanamke husika anakuhitaji maishani mwake.

Unapata kujua ni aina gani ya mwanamke ulienae ata siku mkiwa katika ugomv serious,

Sio uko na mwanamke afu unamwita wife material,

Ata hujui anaweza vipi kuhandle migogoro ktk mahusiano.

Kila mwanamke ana jinsi anahandle mgogoro wanapokasirishwa,

1. Wengine Wanalia sana.
2. Wengine Wanasali sana.
3. Wengine Mtabishana mpaka kieleweke.
4. Wengine Atakushtaki kwa watu wako wa karibu.mf: wazazi,marafik,ndugu
5. Wengine wanachepuka kutafuta faraja.
6.wengine wanakaa kimya tu

Usipomjua mtu wako ni wa namna gani, utafeli sana kwny mahusiano, hasa kama mmeshafikia hatua kubwa sana kimahusiano.
Hayo makundi mawili ya kwanza ndio yanayohusiana na huu uzi hao wengine chini huko ni irrelevant! Wanawake vilizi na wanaopenda kusali sali ndio wako romantic mara nyingi hivyo viji drama vya kununiana na kupigana mikasi ndio wanaviweza!

Sasa yule binti fulani ukimtibua usitegemee kuna kula tunda hapo! Fita ni fita muraaa
 
Back
Top Bottom