Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mnachanganya mambo,
Tukiongelea ugomvi sio lazima uhusishe kipigo.

Ata kumtibua tu mwenzio mkakaa bila kuongeleshana siku nzima au kutokupokea sim zake au kutokula chakula chake ni aina mojawapo ya ugomvi kwenye mahusiano.

Na huu ndio ugomvi unaoongelewa hapa unaodumisha mahusiano.

Ayo ya KUTOANA manundu ni kitu kingine kabisa na Siafikiani nacho kabisa.

Tatizo wajuba wanadhani ni ule ugomvi kama wanaofanya watu wa mkoa wa Mara sio huo kabisa nazungumzia kaugomvi kasichokuwa na madhara yeyote [emoji28]
 
Kabisa,
Unamzingua kidg ananuna afu mkifika kitandan kila mtu hamsemeshi mwenzie.

Unampapasa uku na kule mpk unastukia mmeshaanza makiss motomoto,joto linapanda mnapiga cha fasta.

Game ikikolea unamwambia,
"Yaishe mke wangu, nakupenda sana mda ule uliniudhi nadhan ndo mda SHETANI alipita[emoji4]"

Unaskia anajibu,
"Mi mwnyw nilishangaa, maana sijaona kibaya chochote nilichokufanyia.
Mme wangu inabidi uzidishe maombi shetani asipate nafas kwenye familia yetu"

Afu unaitikia,
"Ilo ni kweli mama watoto wangu, uyo shetani baba wa uovu ashindwe na alegee Tukimalizia kupata utamu tunapaswa tukemee uyo PEPO" [emoji4]

Yeye Anajibu
"Aya mme wangu, ebu inua huu mguu unikune apa kwa juu vizuri mi mwnyw nilikumiss sana. Mmwaah[emoji8]"

SHOW INAKUA IMEISHA

[emoji28][emoji28]
 
Ugomvi ni kawaida sana kwny mahusiano,
Ugomvi pia unaimarisha mahusiano kama ulkua hujui ilo.

Ugomvi pia ni kipimo cha jinsi gani mwanamke husika anakuhitaji maishani mwake.

Unapata kujua ni aina gani ya mwanamke ulienae ata siku mkiwa katika ugomv serious,

Sio uko na mwanamke afu unamwita wife material,

Ata hujui anaweza vipi kuhandle migogoro ktk mahusiano.

Kila mwanamke ana jinsi anahandle mgogoro wanapokasirishwa,

1. Wengine Wanalia sana.
2. Wengine Wanasali sana.
3. Wengine Mtabishana mpaka kieleweke.
4. Wengine Atakushtaki kwa watu wako wa karibu.mf: wazazi,marafik,ndugu
5. Wengine wanachepuka kutafuta faraja.
6.wengine wanakaa kimya tu

Usipomjua mtu wako ni wa namna gani, utafeli sana kwny mahusiano, hasa kama mmeshafikia hatua kubwa sana kimahusiano.

Well said
 
Iyo nilishaifanya zaman sana kabla ata sijaoa,

ILIKUA HIVI,[emoji116]

Nilikua bachela afu mpnz wang yuko mbali na tunakoishi, mimi KIMARA mwisho, yeye MBAGALA.
Nikimwambia awe anakuja kwangu kila wikend tuna DO basi chenga chenga znakua nyingi Yaani ni mpaka ajiskie yeye.
Sometimes kwa mwez anakuja mara moja.
Yaani kwa kifupi SHE WAS NOT SERIOUS WITH THAT RELATIONSHIP.

Nikaona isiwe tabu,
ANANICHUKULIA POA HUYU binti afu na mimi ndo nishampenda, anajihisi yuko peke ake.
Inabidi nimpe changamoto kidogo apate wivi nione itakuaje.

PLAN ILKUA HIVI,
Ule ule mtaa nnakoishi, nyumba jiran kuna shoga ake wa kufa na kuzikana (WALISOMA WOTE primary mpaka Advance shule moja)

Basi kuna COUPLE MOJA mtu na dem wae huwa wanakuja pamoja na kuondoka pamoj kazin kwangu kwa gar ya Rav 4 2006.

Nikawashirikisha plan yangu na wakakubali kutoa ushirikiano 100%.

Nikamwomba mshkaj wang kwa wiki 1 nzima tu awe ananipa lift kwny gari yake nnapoenda na nnapotoka kazin.
Ila shemej awe ndie anaendesha, mimi nakaa siti ya mbele na shemeji.

afu yeye awe anakaa siti ya nyuma kwenye tinted asionekane

Akakubal kwa wiki nzima wakawa wananipitia asbh, wakifika shemej anapak.

Anashuka anakuja kunigongea mlangon kwangu nafungua tunaongozana mpk kwny gari tunaondoka kwenda kazin.

Jion wananirudisha, wakifika gari inapak nashuka.
Shemej anafanya kama ananisindikiza kwa mguu mpk mlangon kisha anarud anawasha gar na kuondoka.

Sometimes, tunaplan jamaa abaki ndaninya gari, meji atoke ndani ya gari.
1. Tunashuka tunaegemea bonet ya gari kama vile tunaongea vitu flan flan, mara acheke,mara anishike shavu, mara kaniwekea mkono begani na kufurahi furahi kisha anapanda gar anaondoka.

2. Anaingia ndani kwangu kidogo kunywa maji baridi na stori mbil tatu, dakika 10 au 15 kisha anarud zake anawasha gar anaondoka zake.

Basi yule shoga ake akawa anaona maana mda wa jion alkua anapikia nje ya nyumba, na mimi najifanya sina habari kabisa niko bize na mambo yangu.

Aisee,
Taarifa zilimfikia mpnz wang kua kuna mwanamke huwa ananipitia asbh kisha ananishusha jion kwny RAV 4 ya silver kila nnapotoka kazin.

Siku moja narudishwa kumbe kaja bila kunitaarifu yuko kwa uyo shoga ake.
Nmeshushwa na gari imeondoka namuona uyu apa.

Anauliza
" Uyo aliekushusha ni nani"

Nkamjibu tu shortly,
"Haikuhusu"

Akauliza tena,
"Ndo majibu gani ayo sasa, sio mara ya kwanza wala ya pili najua anakuleta na kukufata hapa kila siku"

"Kama hunipendi bora useme, Yaani uyo ndio anakufanya siku hizi ata hunipigii sim kama zaman"

Nikamjibu,
"Wee Utajua mwenyewe bhana" uku naelekea ndani.

Akajibu,
"Najua tu hunipendi na unanijibu ivyo kwa sababu umepata mwanamke mwenye gari. Wee sawa tu"

Nkamjibu,
"Utajua mwenyewe bhana"

Nikamwambia tena,
"Aisee usniongeleshe sana bhana nmechoka sana nataka nipumzike, Nauli yako hii apa wee nenda tutaongea siku nyingine" akaondoka.

Aisee baada ya hapo, Akaenda zake kwao
Akaanza kunipigia mara kwa mara,
Uko wapi?
uko na nani?
Kesho nakuja.

Ikabid nimstopishe meji wangu, Maana LENGO tayar LISHATIMIA

Gafla nikaona ruti za kuja kuja kwangu na kukaa kwangu zimeongezeka,
MAHUSIANO AKAANZA kuyachukulia serious zaidi.

Akawa anakuja ananifulia, ananipikia mpk sometimes anaacha baadhi ya nguo zake kwangu,

Sometimes anakuja usiku wa manane ananigongea namfungulia, anaangalia uku na kule nisije nikawa niko na mwanamke mwingine.

Nikajisemea kimoyo moyo,
" NAAM , Hapa ndo nlipokua napataka[emoji4]. Amekua serious na mahusiano sasa [emoji106]"

Unafaa sana kwenye kizazi cha bongo movie [emoji28][emoji28]
 
Mwanamke akishakuchoka wala hajifichi, na hata huwez tumia nguvu kubwa kumjua.

Mwanamke akimchoka mwanaume hajali chochote kile tena kwenye mahusiano.

Na kama unajua vizur kutengeneza ugomvi feki,
Unaweza kumtengenezea ugomvi maksudi ili upate sababu ya kuachana naye kimahusiano.

Niliwahi kua na binti ana kiburi balaa, NMEMCHOKA ila nikitaka kumuacha Familia inanijia juu hasa Mama angu mzazi.
Mama mpk anasema atanilaani nikimuacha yule mwanamke.
Nyumban walikua wanampenda sana.

Nikamseti jamaa nikamlipa ili kamtongoze na rasilimali zote ili aweze kufanikisha ilo jambo nikampatia.

Na mimi huku kwenye mahusiano nikaacha kumjali kabisa, na jamaa kule akazidisha juhudi za kumfuatilia na update akawa ananipa.

Mdada akaingiwa na mawazo ya kuchepuka, akamkubalia jamaa na wakapanga wakutane Lodge flani.

Jamaa akanitonya,
Nikaanda vijana, camera man, na mabaunsa kadhaa.

Ile wameingia tu lodge,
Mlango wa chumba ukagongwa, jamaa ile kufungua tu mlango kuskiliza ni nani tukaingia wote chumban.

Binti hajakaa sawa,
Akapigwa picha za kutosha akiwa na kitaulo tu, jamaa yuko na boksa tu.

Nikajifanya nna hasira nnataka kumpasua jamaa afu rafk zangu wananizuia.

Nikapiga sim kwetu kuwajulisha ndugu zangu,
Dada zangu wakaja pale, wakamchukua binti wakaenda nae.

Mi na mabaunsa wangu tukajifanya tumemteka jamaa tukamwingiza kwenye gari kana kwamba tunaenda kumfanyizia kitu mbaya uko tuendako.

Baada ya hapo,
Mama alipoziona picha alimchukia sana binti, ndugu zangu wote walimchukia na mahusiano yakawa yameishia hapo.

Sema binti haelewi mpk leo hii kama kilichotokea chote siku ile ilikua ni SET UP.

MUNGU ANISAMEHE SANA KWA NILICHOKIFANYA KWA BINTI, ulkua ni ujana[emoji18]

[emoji28][emoji28][emoji28]hakuna msamaha mkuu moja kwa moja motoni
 
Nimekuelewa sana sana mkuu ndio maana play boy ana Bamba sana kwa hawa viumbe kuliko hawa wapole wastaarabu cha msingi sio kukalili tyu nikucheza na akili ya kila mmoja wao, mfano unaweza ukawa unampigia simu kila time una invest muda wa kutosha kwake na asijali kbs ukija kunyuti ndo kama anastuka vile!
Kama mwanaume unatakiwa kufanya kama una restart au ku update mahusiano kila baadaya muda ili kuleta ustawi + ubora

Point [emoji123]
 
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!

Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Kweli kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila sio kila mwanamke unaeza mletea izo drama
 
Nmemzingua jana mchana[emoji1]
Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,[emoji1][emoji1][emoji1]
Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu[emoji4]
 
Nmemzingua jana mchana[emoji1]
Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,[emoji1][emoji1][emoji1]
Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu[emoji4]

Fanya kumpiga kimoja cha fasta kabla wajuba hawajacheza na fursa [emoji28]
 
Back
Top Bottom