Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Too much fights spoils love
 
Sometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.

Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.
Mbinu ya kijasusi hii, but it works big time
 
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ugomvi wa kuutafuta kistyle sio mzuri, acha awe ana jaa kwenye 18 mwenyewe,
 
Mimi sipendi ugomvi, basi nitaachwa sana.

Sipendi ugomvi kwa sababu ni mgumu sana kusamehe.

Analyse alisema, mahusiano ya kimapenzi hayana template.

Hakuna kanuni moja ya kufanya kazi katika mahusiano yote.
 
Mi pia sipendi tafrani, siwezi kuchanganywa na maisha na mtoto wa mama mkwe pia [emoji114]
Yani kama hapa baby hajanipigia tangu jana stress tupu si heri tuachane tu! kazi ya kuusemea moyo wa mtu inaninyonga haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umpigie wewe...πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna dada flani nilitokea kumpenda sana, tatizo lake kubwa hayupo active kabisa. Unapiga simu siku nzima hazipokelewi. Akija kupokea siku kadhaa baadae anaongea kama vile nothing happened, nikawa namwelewesha kwa lugha ya kistaarabu ila kubadilika habadiliki. Nadhani ndo wale wanawake wa kupenda kufokewa ndo wasikie raha. Basi kuna siku nimecheki hajapokea simu siku nzima, nakumbuka nilipaga si chini ya mara 15 ndani ya saa 1πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nikaona isiwe kesi, nikavunga.

Kuanzia mwezi wa tatu hadi leo anapiga na kutuma text za kulialia ila sijishughulishi nazo.
 
Nimeshampigia Mara hapatikani mara yuko hewani hapokei, inamaana tangu jana simu hajashika au sio
Vumilia na ww Yan tangu jana tuu ushapata stress
Sipendi stress nna mambo mengi mno, sijuagi Drama!
Penda nikupende, yani mapicha picha siwezi kuyahimili ndio mana natuliaga single mda mwingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Msingizie anatoka na waziri mstaafu wa mali asili, halafu zira,nuna nazisha gubu yaani, baada ya wiki jifanye umemsamehe halafu mkamate mgonge haswaaa, huwa ina utamu yaani, nakumbuka kuna mmoja nilimzingizia anatoka na Mputa Maseko sema hajasoma hajuagi jamaa ni nani akaniomba msamaha
 
Yan uko straight ..hutaki Kona Kona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nakubali [emoji817]
 
lol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unagoma kula au kufanya nini?
 
Nitamu haswa pale anaposema unajua l...baby ulinikasirisha[emoji23]uku kasura kaupendo kutoka moyo kanaoneka...kiukweli mapenz mpeane kidogo kaugomvi ivi...ukimya nao ni sumu katka kuua mapenz
Kwa mliopata watoto wa mwisho kwao ndio wana hizo njonjo! Wengine tumeoa maaskari huku, huo muda wa unajua bebi unatokea wapi? Ni mitusi mtindo mmoja
 
Hayo makundi mawili ya kwanza ndio yanayohusiana na huu uzi hao wengine chini huko ni irrelevant! Wanawake vilizi na wanaopenda kusali sali ndio wako romantic mara nyingi hivyo viji drama vya kununiana na kupigana mikasi ndio wanaviweza!

Sasa yule binti fulani ukimtibua usitegemee kuna kula tunda hapo! Fita ni fita muraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…