Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

Naisoma ya Tatu
Ila huyo jamaa kama alifanyiwa ukatili huo wote akiwa mdogo ni mbaya sana kwa afya yake
Nimeona wauwaji wengi walikuwa abused wakiwa wadogo
Na wanatetewa sana na kuishia kupelekwa hospital badala ya jela
Vipi kama aliongea hivyo kwa ajili ya kujitetea ili apunguziwe kifungo

Hatuna ushahidi wa yale aliyotendewa udogoni mwake.

Dah mahakamani huwa kuna mkanganyiko sana
 
Vipi kama aliongea hivyo kwa ajili ya kujitetea ili apunguziwe kifungo

Hatuna ushahidi wa yale aliyotendewa udogoni mwake.

Dah mahakamani huwa kuna mkanganyiko sana
Kweli hatuwezi kujua lakini kama wanataka ushahidi wa hayo ni rahisi kujua hospitalini
Kwa kuwa kesi iko SA basi wao ndio waamuzi ila ni maamuzi magumu
Hafai kuwa katika jamii kabisa huyu maana hataacha kuuwa
 
Back
Top Bottom