Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

huyo jamaa wa kijijini anaongoza mpaka sasa
yeye 3 wewe 1 😁😁😁
yani ww upo karb na huyo bint bt anayo confidence ya kukwambia future anaiona kote huoni huo ni upuuzi mkuu.
LABDA HUYO BINTI ATAWAOA WOTE😁
Hahaa ivi huo ujasiri anautoa wapi aisee......
 
[emoji3][emoji3] imebidi tu Nicheke
Ushauri mzuri nitajitafakari msomi
 
Ushauri endelea kumla ila ondoa mawazo kichwani kuwa huyo ni future wife
 
Miezi sita yote hiyo hujampa mimba tu?
 
[emoji3][emoji3] imebidi tu Nicheke
Ushauri mzuri nitajitafakari msomi
Kweli mkuu ni utani ila tafakari vizur ndugu ....mwenzio anacheza na double chance hapo.
em kaa fikiria siku anaamka anasema m naww basi naenda kuolewa , utapitia wakati gani mgumu ndugu.

sometimes wanaume tumeumbwa na mioyo migumu ya kufanya maamuzi magumu kwa lengo zuri Tu la familia zetu Kwa baadae. kuna mahala unahitajika kua na huruma ila kitachotokea mbele hutoonewa huruma. I know them (mark my words)

nimemaliza ,nakuombea Mungu akupe Nuru 😁
 
Dogo
Dogo soma achana na mabinti utawakuta tu
 
[emoji3] I'm happy with this
Thanks
 
Embu mtoe kwenye malengo

Mchukulie nikm malaya ivi.

USIWE NAYE WIVU KABISA .

USIMUULIZE WALA USITAFUTE KUJUA MASUALA YA JAMAA YAKE.


Ukiwa naye wee pigaaa weee jipigieeeeee sana tuuuu




Utanishukuru baadae.
 
Nikikuonesha texts zangu tulizoexchange jana na leo utacheka. Mimi uongo na fake life siwezi kabisa, sasa yeye anachukulia advantage anauliza mipango yangu anajua namna ya kuexploit na vile siwezi multiple relationship sasa.

Ikitokea nina hela anapiga kizinga. This week tunamaliza UE anataka twende vacation, hela ipo na anajua ila ananambia eti hataki sex. Nimemuuliza uko tunakoenda kuna mkutano au kuna nini hasa tunaenda fanya?

Hapa kati ashaniomba hela ya mchezo eti wanazungusha anataka aanze kuweka savings, ni baada ya mimi kumwambia ninafanya savings benki. Hela yenyewe nyingi, afu bado outings na zawadi na dharula kadhaa.

Nimemwambia kama unataka nikuhudumie hilo sio tatizo, ila ujue ni two way traffick. Alijua nimezama sana kumbe hajui akili yangu haijawahi nisaliti kwenye mapenzi. Uzuri wake sio sababu ya kunitesa tutapambana. Uwezekano wa yeye kuacha sex naupa 0%, nihudumie kama mume afu yeye ahudumie kama friend?

Akiondoa sex tu, naondoa hela na outings kwenye mahusiano. Eti twende location tuangaliane kama majasusi, hapana.
 
Soma kwanza,naona una akili za kitoto bado, hakuna mpenzi mkweli chuoni

Kifupi ni hivyo wala usiulize tena
 
Daah
Hapo nina nafuu
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
Ao waigizaji tu jomba.. we chukua maamuzi unayoona yanafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…