Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Jjzi kaninyima mzigo(papuchi)
Kisa anaenda likizo
Hataki Jamaa ake ajue Kama amefanya

(Ameji-isolate for one week) amtunzie Jamaa ake genye
I'll asigundulike
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaona future pande zote bado upo dogo

Nyie wote mazoba atatokea mwingine ataona pia future.

Mnachunwa tu
[emoji3][emoji3]
 
We dogo inaonekana ni mfupi sana halafu huna hela, ...soma,maliza,tafuta hela then anza michakato ya kuoa 99% ya mapenzi a chuoni huishia chuoni.
 
We dogo unatuinjoy hapa .

Au kwanini wewe ni mlugaluga toka wapi .

Nyie mnaotokaga huko vijijini kuja mjini kusoma vhuo huwa mnapagawa Sana na mapenzi
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
kwanini umekuja kuomba ushauri sasa mbona kama huna mapenzi ya kweli na mkeo
 
Mwenyewe nakwama hapo

Juzi kaninyima mzigo
Eti anaenda likizo hataki Jamaa ajue
Kama amefanya
ebooo. ni kipi ulichompendea sana wanawake wengine hawana?

mkuu jipe ujasiri kama mm. mm demu juzi kanambia et kwanini simpi hela na kumsaidia, mm nikamwambia hali unayoniona ni ya kumsaidia mtu mwingine kweli??? akaniambia eti kuna binti nitakuwa namsaidia😁, nikamwambia umekosea, sina mwingine zaidi yako. na kiukweli sikuwa na mwingine zaidi yake, sipendagi kuchezea hisia za mtu nisiyekuwa na interest nae. Basi nikamwambia pole kwa kuwaza vbaya ila sina cha kukusaidia ndiyo maana sikusaidii. tukavutana kidg nikamwambia tu simple, "sijawahi kulala nawe, sijawahi shika kiungo chako chochote ila nimetumia muda wako, nisamehe kwa suala la muda tu. Saiz nakupa uhuru tafta watakaokusaidia na kukuhudumia vzr maisha ni mafupi sana, enjoy ur good time" basi nikamwambia tusitafutane tena abaki na 50 zake. mpk sasa hii ni ck ya 5 hatujawasiliana nae. nikimkumbuka mwili wasisimka but nabaki normal kuwa hakuwa chaguo lng, masikini kudate na pisi kal alafu huna hela, ni mateso tu.

Kuwa jasiri mkuu, move on. Huyo ni malaya kama malaya wengine. mpk now unafahamu ana kijeba huko kijijin kwao, je sehemu zingine unajua hana au anao anaowapanga kama wewe? Amka Shituka
 
Sawa mkuu
 
Nlikua namuangalia Chris Mauki jana akiwa na wanachuo akiwapa mawili matatu tibisii.

Alichonikosha aliwafundisha kua wanatakuwa kuwa na Focus.

Wewe hadi umefika chuo hapo Focus yako ni Elimu ya kozi uliyoendea au Mapenzi!!?

Endelea na Focus yako as long as unaona itakutoa hapo ulipo na kukupeleka mbele zaidi.

Au nasema uongo ndugu zangu!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…