Wakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma lov,akajibu poa.Akauliza nan nikamwambia si mpenzi wako!akasema ni nani nimtajie jina.Nilichoka kwa kweli nikamwambia p.Baada ya hapo akawa ananipgia na kutext kwenye line yang bt sikujibu nikamwambia niko bize ntakuchek badae.Toka hiyo jana adi saiz ni kimya kabisa na mim sijamtafuta.je ananipenda kweli au maana hapo naugulia maumivu ya moyo:msaada Plz