Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

mtu haujamuoa unataka uwe peke yako na sisi unataka tukaponee wapi kwa mfanoooooo
 
yani mitoto hii ipewe mikopo irudi vyuoni..
mxiuuuuu
 
Pole sana, na ngoja nikwambie kitu usichokijua ukijidanganya ukamwacha huyo mpnz wako kwa sababu ya hiyo text pasipo kufanya uchunguzi utakuja kujuta baaadae. Kwanza kuitikia hajafanya jambo baya kuitana my love siku hzi hata wasichana wanaitana. love, my, mylove, swthat majina yoteeeeeeeeeeeeeeee unayotaka ww uitwe siku hizi wasichana marafiki wanaitana kama majina ya kawaida tu. Tatizo mshaweka akilini kuwa ukimtext msichana hivyo aanze kwa kukushushia mitusiiiiiii weeeeeeeee halafu baadae mseme tatizo la wasichana hawana lugha nzuri ama angekushushia mitusi ungejisifu uko peke yako au angeliendeleza je c ndio ungezimia.

Lakini katumia lugha nzuri kujibu halafu kilichofuata akauliza kwa ustarabu mpnz wangu nani cz ni namba mpya c kuwa ana wapenz wengi na kumbuka ni namba mpya ingawa simtetei na wala cmfahamu. Na kuhusu kuuchuna pengine kakacrika why kumtega as if humuamini ingawa c strong point khvyo? Baadhi ya wasichana huwa wanazira zira mapema.

Tatizo Hapatikan Mkuu
 
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa

Hahaha...uaminifu ni tabia ya mtu tu kitu kinaweza kuwa mnato kwasbb ni maumbile yake tu yalivyo ila cha muhimu Muombe Mungu kama ni wa kwako atakuletea tu na atatulia na kama sio basi amtushe mbali.
 
Kama mpenzi ndio unaumia hivyo,mke si utachanganyikiwa kabisa wewe
 
Hahaha...uaminifu ni tabia ya mtu tu kitu kinaweza kuwa mnato kwasbb ni maumbile yake tu yalivyo ila cha muhimu Muombe Mungu kama ni wa kwako atakuletea tu na atatulia na kama sio basi amtushe mbali.

thank kwa ushauri
 
Back
Top Bottom