kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
"Ukimchunguza sana bata huwezi kumla" mwisho wa kunukuu misemo ya wahenga....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningekufwa
wewe usiseme upuuzi wa hayajakukuta wala nini..hayajakukuta tatizo
"Ukimchunguza sana bata huwezi kumla" mwisho wa kunukuu misemo ya wahenga....
Ndio uache maswal ya kizembe. Halafu ww mgen ktk mapenz hicho tu umeumia moyo. Wenzio wanakuta mtu yupo chumban kati kati ya mambo yetu na bado wanasamehe. Huo moyo wa kike ulio nao hata mimi msichana nina moyo mgumu kuliko ww loo
embu maliza balehe kwanza halafu ndiyo uanze mapenzi
Du mkuu, yani Hapo ndo umeumuaaaaa mpaka unasema mapenzi yanatesa, yani kitu kidogo hivyo hadi unaomba ushauri, nahisi ukipata jaribu lingine la mapenzi tutasema buriani na kuimba kitambo tutakutana mana utakatisha uhai wako
nyie wasichana mna matatizo sana
mbona wajipa mtihani wa ajabu, ye kaona namba ngeni kauliza "ni nani" hiyo si hali ya kawaida maana namba ni ngeni....ingekuwa labda angetaja jina la mwanaume mwingine hapo sawa ila kahoji tu nani sa we maumivu ya nini, na pia acha kupima kwa njia hiyo, kuna mambo mengi ya kumpima sio kujipa id mpya
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa
wewe usiseme upuuzi wa hayajakukuta wala nini..
mwanaume kama mwanaume unatakiwa uwe na moyo wa uvumilivu...
huyo ni gf wako , siyo mkeo ,, hujaoa ,,,una zini nae tu ovyo...kwahiyo yakikukuta usijidai kuja apa kuomba msaada wa kipuuzi
kama wewe umeweza wenzio washindwe nini...
kila siku nasemaga uzuzu hauitaji mahalifa...
hujaoa huna haki naye,,kwahiyo akikuumiza kaza pumbu nawe jipooze uko ulipo { maana long distance ndo kazi mnayofanya kama hamjaoana ni kulala nje ovyo ovyo mpaka pale utakaporejea kwa mwenzio}
ukioa ,, yani akishakua mkeo wa ndoa, akisumbua ndo uje hapa tukushauri
ila kama mnakatana kama mabata afu mnakuja kulia lia apa mapenz ,, ,utaambulia shiti
Ukiendelea na utoto wako utagongewa adi ukome, Ni mwanamke gan anaependa mitoto kama ww
Acha utoto bwana! Mbona sioni shida hapo!!! Jiamini kijana.
Hatujakuzid ww kitu kidogo tu umeumia kuulizwa ww nan ni tabu
Sasa kama ni hivyo tatizo ni nini?