Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
- Thread starter
- #101
Hapo ndipo unapokosea....Ishi nae kwa akili... refer maandiko
nmekupata mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo unapokosea....Ishi nae kwa akili... refer maandiko
nishamaliza siku nyingi sana nakaribia monopose sasawe umemaliza!
nishamaliza siku nyingi sana nakaribia monopose sasa
Kwakweli JF ingebafili watu wajiunge kwa vitambulisho maalum. Huyu sijui kama anazidi miaka 12.
tunalingana na wewe haha
ndiyo mkuummmh!ko wew n kizee kabsa
unazidi kuuchoma moyo wangu
Una miaka mingapiWakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma lov,akajibu poa.Akauliza nan nikamwambia si mpenzi wako!akasema ni nani nimtajie jina.Nilichoka kwa kweli nikamwambia p.Baada ya hapo akawa ananipgia na kutext kwenye line yang bt sikujibu nikamwambia niko bize ntakuchek badae.Toka hiyo jana adi saiz ni kimya kabisa na mim sijamtafuta.je ananipenda kweli au maana hapo naugulia maumivu ya moyo:msaada Plz
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa
Wakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma lov,akajibu poa.Akauliza nan nikamwambia si mpenzi wako!akasema ni nani nimtajie jina.Nilichoka kwa kweli nikamwambia p.Baada ya hapo akawa ananipgia na kutext kwenye line yang bt sikujibu nikamwambia niko bize ntakuchek badae.Toka hiyo jana adi saiz ni kimya kabisa na mim sijamtafuta.je ananipenda kweli au maana hapo naugulia maumivu ya moyo:msaada Plz
sa ningefanyaj,me nlitaka nijue tu kama nipo peke angu
Ukiwa mchunguz sana kwenye mapenz utaumia nduguyangu ni hay