Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.

mkuu nashukuru but kanitafuta kasema hawez kuwa na mtu out of me,xo nijiamin
 
hajanitafuta toka jana boy zaid ya sa 7 iv akaniulza nimwambie nlchomkosea sikumjibu,na sijui analenga kipi!

.......My friend. Bado hujawa tayari kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, na kama upo above 21yrs old kisha una behave namna hiyo, then you are definately in need of pychological help and counselling.
 
mkuu nashukuru but kanitafuta kasema hawez kuwa na mtu out of me,xo nijiamin
Yani haya mambo ya kuchati bwana ya ajabu sana, unakuta mtu anamwandikia mpenzi wako vpi wangu, afu ye anajibu poa, ila sasa hili neno wangu wanalichukulia poa lakini ukiliona mwene mtu unalifafanua kwa kina zaidi, kwaiyo huenda nae alijibu hivo hilo neno my love alilichukulia poa tu kama maneno mengine
 
Utoto raha sana, nenda kaendelee kunyonya labda utakua.
 
ningekuwa mim ndo ningekuchukia mara mbili yake... spendi kutoaminiwa na mtu, hapo umeonyesha humuamini then kama humuamin upo nae wa nin? ucmuumize mtu kwa mambo ya kijinga
 
Mbavu zangu ulichokonoa ukisubiria kuandikiwa na jina lako kutajwa kuwa wewe bwanake.

Wanaume wanaolilia mapenzi siwawezi ni kama mayai
 
Kwakweli JF ingebafili watu wajiunge kwa vitambulisho maalum. Huyu sijui kama anazidi miaka 12.
Kiukwelii baada ya kusoma nilijikuta najiuliza ana umri gani? Anyway, kijana ndio anaumwa Mapenzi, tumshauri cha kufanya
 
Back
Top Bottom