Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa

Hahahaha ndio maana hili jukwaa la MMU sipendagi kupita..

Dogo huyo itakuwa ana mchepuko mwingine
 
Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.
 
Back
Top Bottom