MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
. Eti anataka tumshauri kama amcheki au la?:A S confused:umemwambia utamcheki, hujamcheki mpaka saivi, sasa sisi tutakusaidia vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Eti anataka tumshauri kama amcheki au la?:A S confused:umemwambia utamcheki, hujamcheki mpaka saivi, sasa sisi tutakusaidia vipi
tumeshamshauri, wewe hauhitaji ushauri. Eti anataka tumshauri kama amcheki au la?:A S confused:
Mapenzi kama yanauma achana nayo, jihusishe na mambo mengine!
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa
kwan kuwa peke angu haiwezkani!
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa
Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.
Acha uasherati Mkuu
HahahaDaaah jf tunaonekana wote hatuna akili kwasababu ya mada za vitoto kama hivi