Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
- Thread starter
- #141
Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.
mkuu nashukuru but kanitafuta kasema hawez kuwa na mtu out of me,xo nijiamin