Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Barnaba pro

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
210
Reaction score
13
Wakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma lov,akajibu poa.Akauliza nan nikamwambia si mpenzi wako!akasema ni nani nimtajie jina.Nilichoka kwa kweli nikamwambia p.Baada ya hapo akawa ananipgia na kutext kwenye line yang bt sikujibu nikamwambia niko bize ntakuchek badae.Toka hiyo jana adi saiz ni kimya kabisa na mim sijamtafuta.je ananipenda kweli au maana hapo naugulia maumivu ya moyo:msaada Plz
 
Ukiwa mchunguz sana kwenye mapenz utaumia nduguyangu ni hay
 
Kwakweli JF ingebafili watu wajiunge kwa vitambulisho maalum. Huyu sijui kama anazidi miaka 12.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
umemwambia utamcheki, hujamcheki mpaka saivi, sasa sisi tutakusaidia vipi
 
Sasa na watu kama nyie sijui Magufuli awasaidieje tena..!! Mzigo.
 
Hapo unaumia nini sasa? kwani alikwambia anakupenda au mkutane au ulimfumania? kwanza mkeo?
 
longest distance relationships hazi dumu nowadays..... ukizingatia mna mda mfup katika mauhusiano... Mkuu haupo peke yako
 
longest distance relationships hazi dumu nowadays..... ukizingatia mna mda mfup katika mauhusiano... Mkuu haupo peke yako

sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa
 
Back
Top Bottom