OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho.
Pamoja na karaha zake asikwambie mtu mapenzi ni matamu sana. Utamu wa mapenzi hakuna maneno ya kutosha kuelezea. Kwa waliowahi kupenda mnaweza kurejea kumbukumbu zile nyakati za mwanzo. Kuna kale kafeeling mlikuwa mnakasikia mkiwa mmezama kwenye dimbwi zito la mapenzi.
Usiombe mkakutana wote wawili mnapendana. Hatari sana. Unaweza kuona dunia nzima hii wewe ndio mtu wa maana wengine wanapoteza muda tu. Am talking about emotions, intimacy, passion, and commitment.
Hata mkipigana show inakuwa show inayoambatana na hisia kali zisizoelezeka. Mnajikuta ni kama mpo dunia ya kwenu peke yenu. Labda mtu mwingine hapa.anaweza kuelezq vizuri zaidi.
Tatizo ni kufanya hisia hizi tamu ziendelee kuwa hai. Binadamu hawaaminiki, wako uncertain sana. Lakini kama trend ya mapenzi mazito ingekuwa maintained mpaka kufa, basi dunia ingekuwa nusu ya peponi.