Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Na wanaume wa hovyo tupo pia tunamsubiria.
Ajichanganye aone.
 
When it hurts like hell and you know you can't do this anymore and need to walk away, you won't do that, because you love. You love the person too much to just leave it all behind, you just can't. And that's love about.

Nicholas Sparks,
 
Hayo mambo nilikuwa nasikia pindi nilipokuwa mtoto. Maisha yamenikomaza sana sina hisia za "obsession" tena, wala siamini tena binadamu, hasa mwanamke ambaye anabadirika badirika hovyo zaidi ya kinyonga.

Nimegundua hakuna kitu kinaitwa mapenzi, bali ni vague definition ya seemingly uncontrollable obsession na kiumbe wa jinsia nyingine. Kama reinforcement from nature for the creature's survival. Ukigundua hili unakuwa free na hautosumbuliwa na hawa viumbe, alafu wanakuwa wanakuganda zaidi.

Kwa mtu mwenye akili na anayejitambua huko ni kupoteza muda na kujipa maumivu yasiyo na lazima. Ukiona anakidhi vigezo na masharti, unakamata unapasua then kila mtu apite kivyake.
 
Kuna mtu alichochea nikaachwa mwezi wa pili, nae kaachwa wiki moja imepita, nimekutana nae kakonda kawa kama muathirika asie tumia dose..yani yule wa hatua za mwisho mwisho yani ndani ya wiki kaisha pyuuu.. kaa mbali na mapenzi kaa mbali na kuachwa
🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hatar Umenikumbusha zamani nilikuwa naamka usiku naanza kulia

Siku moja mama anaamka kuswali alfajir anasikia kilio chumbani akaja akasimama mlangoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€akaniangalia akasonya akaondoka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hatar Umenikumbusha zamani nilikuwa naamka usiku naanza kulia

Siku moja mama anaamka kuswali alfajir anasikia kilio chumbani akaja akasimama mlangoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€akaniangalia akasonya akaondoka πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo mother, alisema " ona huyu mjinga"
 
Next time utalia machozi ya furaha.
 
Eendiwoooooo love. Uliniumiza sanaπŸ˜πŸ˜•
Nakumbuka katika stori zako ulisema kipindi unasoma Moro kuna jamaa wa Sua alikuteka sana, ndo huyo Boss πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…