Kuna mkaka aliniambia nibadili dini ndio anioe, nikakataa akasema basi tuachane nikam'bembeleza siku ya 1 akagoma kesho yake nikajikazaHiki ndo kitu huwa nakiwaza yani watu bilioni kadhaa kweli kuhangaika na mutu 1 aaaiiihhh labda sijui lakini labda ni kiburi changu cha uzima
Ndo inavyotakiwa, kujiamini na kujisimamia muhimu,, nasemwa nina dharauπ€£kunyenyeka kwa mwanaume najua sana ila ndo wakileta mapicha nawanyolosaKuna mkaka aliniambia nibadili dini ndio anioe, nikakataa akasema basi tuachane nikam'bembeleza siku ya 1 akagoma kesho yake nikajikaza
Siku ya 2 nikapata babe mpyaβΊοΈ
Haijapita mwezi kanitafuta eti bado ananipenda turudiane nikamwambia 'Mbona mimi bado sijabadili dini kama ulivyotaka'
Akaniambia hajali tena kama nitabadili au lah
Nikamwambia 'Nenda! Mimi nina babe mpya'
Mimi mti nyama uwa unagoma kusimama kwa madada ambae simuelewi elewi nikiwa na hofu nae nishaacha pesa sana bila kupga ila nikikutana na baby mama chuma inakuwa imara maradufu tangu zaman uwa nipo hivyo madada wa chapa ilale siwezani nao na nimeacha kabisaaaaBora azama mkuu, kuliko kupambana na dysfunction, k hii hapa lakini ngoma haisimami nyeto imeua misuli
Kwasababu wewe ni masikini ,hujui hata matajiri wanapenda , pole mkuuMaskini ndio wanaumia sana na mapenzi, matajiri wala hawaumii, hata kidogo, sijui kama mtanielewa, sbb tajiri ana uwezo wa kuwa na wapenzi wengi na wote wakali na hahisi kuachwa na mmoja kuumia.
Huwa ni suala la muda pia. Sio kwamba ni routineMbona yupo niliewezana nae, sipendi madharau,
Sio kwangu aiseeHuwa ni suala la muda pia. Sio kwamba ni routine
Kausha... hahahaha
Ndio niko humo, nyieeeeee! Hakuna best feeling kama kumpata mnayependana. Naweza kusema kwa uhakika kabisa, huu ndio wakati bora zaidi kwangu kimapenzi.Usiombe mkakutana wote wawili mnapendana. Hatari sana. Unaweza kuona dunia nzima hii wewe ndio mtu wa maana wengine wanapoteza muda tu. Am talking about emotions, intimacy, passion, and commitment.
Mdogo wangu, hii miaka mitatu inatoka wapi wakati bado uko shule?Acha tu bro kale kafeeling sio poa
Imagine watu tumeachwa tunasikilizia maumivu miaka 3 baadae
Unanyatia IG yake uone anafanya nini
Namba unayo unatamani upige ila dah
Ukikumbuka yale manjonjo....
Acha tu
Hakuna kitu kibaya kama mtu anakukubalia ili ajipunguzie machungu, haukuwa choice yake, amekukubalia just because you were there.Mpigie tu, ukute nae yuko na maumivu ya kuachwa ukajiopolea kirahisi
This topic is not very relatable to women, why??Mkuu njaa haikukuuma kisawasawa wewe.!!
Usile sababu ya mtu mzima mliyekutana ukubwani? Mwenye minjino 32 mengine yameoza na kutoboka?? πΉπΉπΉ
Pole sana
Mapenzi yanatesa vijana serikali iingilie kati...π
Hatari sana, kuna wakati unamchakata mpaka anatoa chozi. Unamuuliza darling unaumia? Anasema no baby, ni mapenzi unayonipa.Ndio niko humo, nyieeeeee! Hakuna best feeling kama kumpata mnayependana. Naweza kusema kwa uhakika kabisa, huu ndio wakati bora zaidi kwangu kimapenzi.
Mungu amlinde kaka mzuri wangu.
Mdogo wangu, Mi itabidi nianze matibabu ya ugonjwa wa akili πKuumia ni mara 1 tu! Kuumia kila penzi ni ujinga
Watu wote waliojaa humu duniani unamlilia mtu hadi unashindwa kula ni ugonjwa wa akili
Dah! Basi hao wanaokupiga matukio wanakupiga matukio madogo mpaka somo alikuingiiMdogo wangu, Mi itabidi nianze matibabu ya ugonjwa wa akili π
Mi kuanza kumpenda mtu na aanze kuniliza ndio jambo langu, mara 2 na sa hivi ya 3β¦. msiponishika soon naanza kulia kwa kwikwi huku nikibubujikwa (kama Lucas mwashambwa)
ππ
Somo zuri mdogo wangu! β€οΈβ€οΈDah! Basi hao wanaokupiga matukio wanakupiga matukio madogo mpaka somo alikuingii
Mimi nilipigwa tukio la kwanza mpaka moyo wangu ukabadilika kutoka wa nyama hadi kua wa chuma.
Sasa hivi sijui mtu anifanyie tukio gani la kuniliza.
Uzuri ulionao, elimu, moyo, tabia njema na kazi unayomiliki haikufai kumng'ang'ania mtu anayekusumbua.
Uzuri wote huo halafu unamlilia mtoto wa mtu!
Ebu jikaze vaa vizuri nenda Sehemu nzuri yenye watu wa maana kapate msosi huku unapulizwa na upepo.
jinsi upepo utakavyokua unakupuliza ndivyo na wewe umpulize huyo mtu atoke ndani ya moyo na akili yako. Kuna wanaume wazuri wa maana wanakusubiria huku nje.π₯
One man to man love drama on its peak.Hakiii yanauma sana love ! Hasa kwa unayemfeel deep down ya kumoyo!.The one you real love β₯οΈ
kizazi cha nyoka hichiMdogo wangu, hii miaka mitatu inatoka wapi wakati bado uko shule?