Mapenzi yanaumiza sana

Kiukweli ni kama nimeharibika, maana ni kama nina ganzi fulani ambayo hata nikiwa na mtu sina wivu naye na naweza kuachana naye bila sababu.

Kuna logic fulani nimeipoteza kwenye mapenzi!
Ni swala la wakati tu Chief..utakuja kukaa sawa ingawa itachukua muda.pole sana aiseh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbona unatumia nguvu kubwa kujisafisha...



Si useme asante tuu nimwite shemeji wako wa kienyeji muyajenge
We nae..kwa kupenda kukuza mambo...
Usichukulie laifu siriaz sana
take it easy Chief.

πŸ˜„πŸ˜„hujambo lakini..umepotea sana
 
Ifike mahali mtu ukiona mapenzi yanakusumbua wala hujawah kusettle kwenye mapenzi ni kuachana na mapenzi na kufanya mambo mengine...kuna mengi ya kufanya kwenye maisha sio mapenzi tu...
πŸ˜†πŸ˜†kwamba ukiona mambo hayaendi unayaacha unaenda wewe🀣🀣safi sana
 
Hebu huko na weweπŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ’―πŸ’―πŸ€›πŸ€›πŸ˜˜πŸ˜˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…