Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #101
Ni swala la wakati tu Chief..utakuja kukaa sawa ingawa itachukua muda.pole sana aisehKiukweli ni kama nimeharibika, maana ni kama nina ganzi fulani ambayo hata nikiwa na mtu sina wivu naye na naweza kuachana naye bila sababu.
Kuna logic fulani nimeipoteza kwenye mapenzi!