Kwa kusema hayo unajustify upuuzi unaoendelea Gaza. Umetiwa upofu na udini na hata unapojitahidi kuchomoka unarudi huko huko
Hakuna sheria inayowapa Hamas kufanya mauaji na uhalifu mwingine. Hakuna sheria ama kanuni inayowahalalisha Israel kuua watu wasio nasaba yao kwa kigezo cha kukalia maeneo yao kinguvu. Tatizo lako na wengine ni kwamba, kila anayehoji ni mpizani. Hao Waisrael unaowaona leo siyo wale unaoambiwa kwenye vitabu
Unaponipangia namna ya kuwasilisha hoja, ina maana moja tu! nayo ni upuuzi uliomezeshwa na CCM kuamini kwamba kila mtu anapaswa kuwaza sawa na wewe