Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Poor game nidhamu mbovu kutoka kwa timu zote mbili.marefa nijanga lasiku zote.tunasafari ndefu sana watanzania.
 
Dak:75.Jamhuri 0-3 JKU.

Hii mechi ya leo maustadhi wamekutana Jamhuri wanacheza utadhani veterans.
 
Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja.
Hii Mikia ina taabu sana, mwaka huu ndio watasema afadhali ya mwaka jana. Na leo lazima watapigwa dhidi ya URA.
 
URA ni watoto wadogo, hawawezi kuifunga Simba Sports
Ila kumbuka kuna game kibao simba wanalala kwa URA, nakumbuka ni game moja tu ya hivi karibuni Simba waliifunga URA tena kwenye Simba Day! Sijajua hicho kiburi cha Kuwaita URA wadogo unakipata wapi!!!!!!!!

Kila la kheir kwa URA
 
Kikosi kitakachoanza leo ni
1. Peter Manyika
2. Juuko Murdish
3. Emery Nimubona
4. Mohamed Tshabalala
5. Abdi Banda
6. Justice Majabvi
7. Said Ndemla
8. Mwinyi Kazimoto
9. Danny Lyanga
10. Ibrahim Ajibu
11. Hamis Kizza
Kikosi cha akiba ni
1. Komeiny Baruany
2. Jonas Mkude
3. Awadh Juma
4. Brian Majwega
5. Peter Mwalyanzi
6. Mussa Mgosi
7. Hassan Isihaka
8. Joseph Kimwaga
9. Haji Ugando
3 hrs · Public
 

Lazima kieleweke.
 
Ila kumbuka kuna game kibao simba wanalala kwa URA, nakumbuka ni game moja tu ya hivi karibuni Simba waliifunga URA tena kwenye Simba Day! Sijajua hicho kiburi cha Kuwaita URA wadogo unakipata wapi!!!!!!!!

Kila la kheir kwa URA

tulia unyolewe
 
Makontena yanapitishwa bila kulipia ushuru bandarin,dili hizi mpaka viwanjan,wale wazee wa mipango.Kumbe hata uwanja walijenga kimagumashi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…