momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Poor game nidhamu mbovu kutoka kwa timu zote mbili.marefa nijanga lasiku zote.tunasafari ndefu sana watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja....halafu ndio yanaongoza kwa midomo mirefu humu,leo kimyaaaa..!!
Hii Mikia ina taabu sana, mwaka huu ndio watasema afadhali ya mwaka jana. Na leo lazima watapigwa dhidi ya URA.Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja.
Hii Mikia ina taabu sana, mwaka huu ndio watasema afadhali ya mwaka jana. Na leo lazima watapigwa dhidi ya URA.
Ila kumbuka kuna game kibao simba wanalala kwa URA, nakumbuka ni game moja tu ya hivi karibuni Simba waliifunga URA tena kwenye Simba Day! Sijajua hicho kiburi cha Kuwaita URA wadogo unakipata wapi!!!!!!!!URA ni watoto wadogo, hawawezi kuifunga Simba Sports
Kikosi kitakachoanza leo ni
1. Peter Manyika
2. Juuko Murdish
3. Emery Nimubona
4. Mohamed Tshabalala
5. Abdi Banda
6. Justice Majabvi
7. Said Ndemla
8. Mwinyi Kazimoto
9. Danny Lyanga
10. Ibrahim Ajibu
11. Hamis Kizza
Kikosi cha akiba ni
1. Komeiny Baruany
2. Jonas Mkude
3. Awadh Juma
4. Brian Majwega
5. Peter Mwalyanzi
6. Mussa Mgosi
7. Hassan Isihaka
8. Joseph Kimwaga
9. Haji Ugando
3 hrs · Public
Ila kumbuka kuna game kibao simba wanalala kwa URA, nakumbuka ni game moja tu ya hivi karibuni Simba waliifunga URA tena kwenye Simba Day! Sijajua hicho kiburi cha Kuwaita URA wadogo unakipata wapi!!!!!!!!
Kila la kheir kwa URA
Dak. 12: URA 0-0 SSC.
Mnyama anaua huku mpira mwingi mno anapiga
Channel gani twaona?