Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Tupatie jina la mchezaji aliyefunga tafadhali
 
Ama kwa hakika hii ilikuwavni burudani mechi classic kabisa. Simba inaonekana viwanja visivyokuwa kwenye kiwango vya mikoani vinawasumbua sana kutandaza kabumbu.
 
FT:Simba 1 URA 0,wale wambeya wa Yanga mkahamishe jengo lenu bondeni chama kinakuja kupiga chata
 
Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja.
..SIMBA - 1 U.R.A - 0,kawaambie wenzio..
jana wachezaji wenu wanatema tema mate uwanjani km wana mimba ya mnyama.!!
 
Ama kwa hakika hii ilikuwavni burudani mechi classic kabisa. Simba inaonekana viwanja visivyokuwa kwenye kiwango vya mikoani vinawasumbua sana kutandaza kabumbu.
To be honest, mechi ilikua classic tofauti na ile ya jana ya kukamiana. Ni bonge la mechi kwa kweli

Kesho pia kuna mechi kali sana only wasipokamiana yaani Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar!

Kumbe hawa Simba wamemrudisha mchezaji wao yaani Mussa Hassan Mgosi? Nmeshangaa kumuona. Hata hivyo Simba walikosea sana. Kule alikoenda aliwika sana Mgosi Mussa!
 
Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja.
..eti; ile style yenu ya kushangilia siku hizi mnajipanua huko nyuma mmeipata wapi? nikiwaitia nyosso nitakuwa na kosa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…