NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,353
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru bossAzam Two
Thanks brodaAzam Sports HD.
ZBC 2.
AzamXTRA.
Tupatie jina la mchezaji aliyefunga tafadhali
MajwegaDak 64,Simba 1.Brian Majuva anaingia
Mkuu Brien majwega na si majuvaDak 64,Simba 1.Brian Majuva anaingia
Umetupa tukakushindwa hata goli moja...Simba wamechoka sana
Lile ni bwawa, wafugie samaki tu...FT:Simba 1 URA 0,wale wambeya wa Yanga mkahamishe jengo lenu bondeni chama kinakuja kupiga chata
..SIMBA - 1 U.R.A - 0,kawaambie wenzio..Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja.
To be honest, mechi ilikua classic tofauti na ile ya jana ya kukamiana. Ni bonge la mechi kwa kweliAma kwa hakika hii ilikuwavni burudani mechi classic kabisa. Simba inaonekana viwanja visivyokuwa kwenye kiwango vya mikoani vinawasumbua sana kutandaza kabumbu.
..eti; ile style yenu ya kushangilia siku hizi mnajipanua huko nyuma mmeipata wapi? nikiwaitia nyosso nitakuwa na kosa?!Mikia mwaka huu mtakuwa watu wa kusikitika tu. Jambeni ushuzi uishe fasta maana kunya kwaja.