Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

inaelkea juzi walitumia nguvu sana, leo wamechoka sana

Walikuwa wamepania sana kumuadhibu Azam baada ya Azam kuwafunga kwenye ligi ukizingatia hizi mechi zimefuatana na lile goli la ligi lilitokana na adhabu ambayo waliilalamikia.
 
Kama Mtibwa wangecheza hivi juzi mbele ya Azam,wangetandikwa hata 3-0.
 
nyny weny nguvu mnaokula kokoto c tungewaona basi mafanikio yenu katka soka angalau ukanda huu wa afrika mashariki na kati, badala yake ndo wa mwisho sku zote, jana wala urojo wamemlazimisha mla kokoto sare ya 2:2


hahahaha subir uone fainal watatinga wakina nani... Nyie endeelen kula urojo hammy
 
haijalishi ataingia nani nyny ni wabovu sawa tu na sisi, na ndo maana hamna mafanikio yyte ya kujivunia
 
hahahaha subir uone fainal watatinga wakina nani... Nyie endeelen kula urojo hammy[/QUOTE
muna facilities zote za kuwafanya mupige hatua lakn hamna mnachofanya zaid kushiriki, zanzibar hizo tmu zenyewe wakisikia kuna mashindano ndo wanaokota okota wachezaji mitaan wanawapeleka kushindana na still tukicheza na nyny tunawalazimisha sare, vichogo hamna maana kabisa
 
Samahani sana wakuu. TV gani inaonyesha live?
 
nyny weny nguvu mnaokula kokoto c tungewaona basi mafanikio yenu katka soka angalau ukanda huu wa afrika mashariki na kati, badala yake ndo wa mwisho sku zote, jana wala urojo wamemlazimisha mla kokoto sare ya 2:2

Endeleeni kubonyeeeeee
 
Back
Top Bottom