Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Leo ni mieleka ngumi na kabumbu mashabiki twafaudu
 
Kama unakwazika na watangazaj wa Azam TV kaangalie, ndala TV
 
..hawa marefa wa Tanzania wote hopeless;mtu anatukana mbele ya refa,halafu lirefa linashangaa tu.!!
 
Hawa marefa wa Zenji wanachezesha ligi yao urojo urojo isiyokuwa na ushindani. Hii ni mechi kubwa sana kwao. Wameshindwa kumudu presha ya mchezo.
 
..hili li refa linaibeba kandambili,wameliletea wanajeshi na mi smg waje kulilinda.!!
 
Goooooo Yanga wanasawazisha. Lakini kuna utata. Nini pale?
 
Back
Top Bottom