Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee wa mbelekoHao ndio yanga
Mtibwa 1-2 YangaNgapi ngapi mpaka sasa?
Hata hivyo uwezo wa mtibwa ni mkubwa kuliko ninyi mikia, hivyo yanga ikikutana na simba itakuwa na kaz rahisi kama kumsukuma mlevi vile.Yanga ya kawaida sana, Kwa mziki wa Simba hachomoki...naombea tukutane nusu
Wafungaji tafadhariMtibwa 1-2 Yanga
Ndo TV gani tena hiyo na inapatikana kwenye kisimbusi kipi?Kama unakwazika na watangazaj wa Azam TV kaangalie, ndala TV
Bondeni JangwaniNdo TV gani tena hiyo na inapatikana kwenye kisimbusi kipi?
Tatizo mkipigwa mna kawaida ya kulikimbia jukwaa,Mnyama anaenda kujipigia uck wa leo,lengo letu tukampakate mpenz Yanga