Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Kubebwa mtabebwa nyinyi wachovu yanga daima mbele
 
Yanga ya kawaida sana, Kwa mziki wa Simba hachomoki...naombea tukutane nusu
 
Yanga ya kawaida sana, Kwa mziki wa Simba hachomoki...naombea tukutane nusu
Hata hivyo uwezo wa mtibwa ni mkubwa kuliko ninyi mikia, hivyo yanga ikikutana na simba itakuwa na kaz rahisi kama kumsukuma mlevi vile.
 
Back
Top Bottom