Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Simba kwa mpira huo, mtibwa wamestahili 200%, Mpira mbovu kabisa wa Simba! Toka mechi ya kwanza, ni piga mbele ikiingia poa!
 
Watani bado wanaendelea kujenga timu,naona hiyo timu inajengwa kama vile Aircraft Carrier.
 
omba mods wakufutie hii comment yako!!
Hakuna kufuta post wala comment kwa kua najua matokeo ya mpira ni either kufunga, kufungwa au kutoka sare. Nin cha ajabu kilichokushangaza sana mkuu wangu?
 
Simba watamkoma Jelly Muro...lazima awape madongo...
 
Simba wamejitahidi sana. walau wameishia nusu fainali kwenye mechi iliyofanyika "nje ya nchi".

Warudi zao msimbazi wakasaidie kuuza juice za azam.
 
Jelly Muro mchokozi sana eti Simba wa mchangani daaa huwa ananipasua mbavu sana anavyojua kuwanyoosha Simba!
 
Back
Top Bottom