Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Said Mohamed......Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanakutafuta mkuu....Wanataka matokeo ya Simba na MtibwaMtibwa 1,Wakubebwa 0
omba mods wakufutie hii comment yako!!na lazima simba ishinde
Said Mohamed......Dah
kuna lile Kombe lao la mchangani kule Shinyanga Mwadui ndio wanalisubiri kuchukua.Duh!sasa mwaka huu watachukua kombe gani ?
Vipi mkuu mtibwa wepesi teh teh tehnaomba tukutane na Hawa matahita yanga...
Teh Teh labda wana jenga uwanja....Watani bado wanaendelea kujenga timu,naona hiyo timu inajengwa kama vile Aircraft Carrier.
Teh teh teh wakubebwa muwa unanoga tehYanga ya kawaida sana, Kwa mziki wa Simba hachomoki...naombea tukutane nusu
Hakuna kufuta post wala comment kwa kua najua matokeo ya mpira ni either kufunga, kufungwa au kutoka sare. Nin cha ajabu kilichokushangaza sana mkuu wangu?omba mods wakufutie hii comment yako!!