Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

nimefurahi sana yanga kufungwa tiboroha faida ya kutukana ndio hiyo na ubingwa hamchukui
 
It's ok. Pole wewe kukimbilia jukwaani wakati watu tuko kwenye screen
 
Ina wahenga walikuwa na akili za kufa mtu, tukianza na: Usitukane mamba kabla hujavuka mto; Usishone mbeleko kabla mtoto hajazaliwa; Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

unafurahia nini wakati simba yetu ni mbovu kupita maelezo.Afadhali Yanga wameonesha kandanda
 
Back
Top Bottom